DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Juzi nilimsikiliza yule jamaa wa Yanga Anajiita Muro, nikamsikiliza yule jamaa Anajiita Furaha aliyetemeshwa tonge mdomoni
Na nikawasikiliza CCM siku wanazindua Ilani ya Chama Aisee to be honest CCM bado Sana .
Bora Mkubali kujirekebisha maana Gwajima yupo anointed , and intelligent.
Sisiemu ni chama cha ndio mzee zidumu fikra za Mwenyekiti.
Hawajafunzwa kujenga hoja