Gwajima, Polepole na Silaa waitwa Kamati ya Maadili ya CCM

Unapopinga hoja za KISAYANSI basi uwe umefanya TAFITI za KISAYANSI.....

Kinyume chake ,hawa wapingao chanjo wanakuja na yafuatayo:-

1)Hoja za kiimani

2)Hoja za "kujishuku" kupitia "conspiracy theories"

3)Hoja za ndoto na ramli chonganishi

4)"Mbango" tu za kuwapinga "wasiowapenda ,wasiowaheshimu na kutotaka kuwatii"


#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#SiempreCCM
 
Hawana hoja za msingi
 
Unasema chanjo zimetengenezwa na WABAYA wasiotupenda waafrika(conspiracy theories) halafu uko katika MFUMO WA BUNGE ambalo haohao ndio WALIOLIASISI na kulieneza duniani kote.....

Huku ni kukosa HOJA KUNTU
Huku ni kujiongezea UMAARUFU "KOKO"

Chambilecho mbunge mh."King" ,WACHAMBA WIMA".......

#SiempreCCM
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Askofu Gwajima ana watu

Polepole ana watu.

Jerry Slaa ana Hoja.
Gwajima aende na clip ya jana Kawe akiwa na Samia, awaambie wananchi wake ndiyo wamemtuma........

Slaa aende na clip ya Bashe ambayo ipo kwenye hansadi za Bunge......

Pole pole aende na V8 ataeleweka
 
Hapo wa maana ni Slaa,
hao wengine ni wapuuzi especially Askofu kibwetere ambaye aliulizwa ushahidi wa nani kapewa rushwa apigie chapuo Chanjo akabaki anatoa macho kama kaona sadaka zimepungua kwenye godown lake.
Wewe jamaa una AKILI Sana Kama Mimi, umewaza nilichowaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…