Gwajima si mtu wa uhitaji wa ka cheo cha ubunge wa Kawe

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kuna machawa wanambagaza Askofu Gwajima baada ya kuongelea watu kuteka na kupoteza bila wahalifu kukamatwa na kushitakiwa

Taarifa hizi zimewaudhi machawa hadi wakasema ati Gwajima harudi bungeni tena

Askofu Gwajima ni mtu mwenye ukwasi wa maana
1. Ana private jet yake
2. Ana Magari kifahari
3.Ana hotels zake
4 Amewekeza kwenye kilimo cha mpunga
5. Ana kanisa la ufufuo na uzima lenye maelfu ya waumini wanaumpa sadaka
6 Ana connection kubwa kimataifa

Si kila mtu lazima awe chawa ili apate ubunge wa dhuluma, yan hizo posho za million 4 ndo mtu kama Askofu Gwajima akae kimya damu zikimwagika

Kwa Sasa ubunge ni kazi ya machawa ila watu makini wanaojielewa hawezi kuacha shughuli zake akaanza kulilia ubunge wenu

Askofu Gwajima ni mtu wa kutoa episode, hii ya kwanza imekwisha Wacha tusubiri ya pili
 
Ewaah tuamke sasa jamani kumekucha paka amefungwa kengele Asante sana gwajima💯✌️
 
Manundu gani? Huyu kaanza Leo kuongea? Yeye na Mpina wewe ni mgeni nao?

Serikali iliamua kuwafinya huwezi wasikia.
Chura atawapa mipasho na michambo lini
Na awaseme vizuri kuwa sio Wazalendo
 
Back
Top Bottom