Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kutengeneza ile. Ni kama zile unazotengeneza weweNa pamoja na ile video kuvuja bado wakaamini sio yeye
High expectations? huna akili kabisa
😀😀😀Yes because I used to be Optimistic in most cases!
I used to aim high !
Akili mimi ninazo tena bora kabisa!
Wewe ndie naona stress zako umeshindwa kuzi-manage unakuja kujichoresha kwa watu ambao sio sehemu ya walokusabibishia hayo mazito unayopitia.
Kuwa na stress yaweza isiwe ni shida isipokuwa ukishindwa kuzi-manage kiasi cha kwamba kujichoresha kuwa kama mtu alopandwa na wazimu ndio huwa shida.
Stahamili mitihani huwatokea Wanadamu kwa nyakati tofauti tofauti.
Lakini kujaribu kutaka kuwatukana watu ambao jamii inayowazunguuka wanawajua kuwa wanauwezo mkubwa wa uchambuzi wa mambo itabaki kuona wewe ndiwe huna akili .