Pre GE2025 Gwajima umezidi uongo, wana Kawe tumekuchoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vipi ulimpigia kura!
 
Wakubwa hivi hapo mlimani city kuna tukio gani la muhimu hadi viongozi wa nchi wanaenda hapo??
 
CCM ndio mkombozi wenu
 
MKONO WA BAUNZA
 
haha amewachezesha mama zetu REDE huyu hana adabu hata kidogo
 
Uongo na siasa ni pipa na mfuniko, mchungaji kavamia mambo ya wenyewe. Bila shaka ataomba radhi kwa kusema uongo hadharani.
 
Acha kumsikiliza mzinzi huyo mcheza ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…