Uchaguzi 2020 Gwajima, utashida Ubunge ikiwa utazidi kumuasi Mungu!

Mchokoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
1,181
Reaction score
1,579
Lakini ukisema mimi ni mtumishi wa Bwana sitaiba kura! Tena, ni mchungaji sitawafitini kondoo.

Na zaidi nina hofu ya Mungu sitaendekeza uroho wangu wa vyeo!
Kwa hiyo nitakuwa mwaminifu mpaka kufa hata kama wanakawe wanikatae!

Ikiwa utashikilia msimamo huu huwezi kurudi Ramothi-giliadi ulikoshukia! Pasipo kuzingatia udhaifu ulipokuwa shambani mwake; Kawe inaenda kuhitimisha shughuri hiyo!

Na ujue roho za manabii huwatii manabii.
Basi Bwana akulegeze moyo ili uyakumbatie ya mbinguni na kuyakataa ya dunia.
Vinginevyo kwa vile una tamaa ya Gehazi ukoma wa Naamani hautaondoka kwenye huduma yako!
 
Nimepewa code Nabii shila kaonekana naye mitaa ya ufipa Sasa sijui naye anatengeneza kik

Ova
 
Lakini ukisema mimi ni mtumishi wa Bwana sitaiba kura! Tena, ni mchungaji sitawafitini kondoo.

Na zaidi nina hofu ya Mungu sitaendekeza uroho wangu wa vyeo!
Kwa hiyo nitakuwa mwaminifu mpaka kufa hata kama wanakawe wanikatae!

Ikiwa utashikilia msimamo huu huwezi kurudi Ramothi-giliadi ulikoshukia! Pasipo kuzingatia udhaifu ulipokuwa shambani mwake; Kawe inaenda kuhitimisha shughuri hiyo!

Na ujue roho za manabii huwatii manabii.
Basi Bwana akulegeze moyo ili uyakumbatie ya mbinguni na kuyakataa ya dunia.
Vinginevyo kwa vile una tamaa ya Gehazi ukoma wa Naamani hautaondoka kwenye huduma yako!
Duh, hi ngumu kumeza kwa Mzee wa uno
 
Kama wewe ni muumini wa huyu askofu kimbia mapema manake mungu wake sio Mungu wako.
 
Nikifa kabla ya uchaguzi , naomba wana kawe msimpe kura mtu asiyekuwa na maadili Gwajima hana hofu ya Mungu ndani yake.
Na usipokufa kabla ya uchaguzi je? Ruksa kumchagua sio?
 
Back
Top Bottom