Niko Old Bagamoyo road nasikia ving'ora vinapigwa kutoka kwenye gari inabidi kuweka gari pembeni nikihisi ni Mheshimiwa au mgonjwa anapita nashangaa kuona Hummer nyekundu na msururu wa magari ukipita kwa kasi na hayo magari yamebandikwa Picha ya mheshimiwa askofu anakaribishwa nyumbani.
Sijui huyu bwana karuhusiwa na nani kwa kutupigia ving'ora na kupita kwa kasi kama kiongozi wa nchi. Sasa hata matapeli wanajidai hii nchi sijui tunaenda wapi?
umekichukia king'ora? au umemchukia alibebwa na ham'ma?
sijaona tatizo, ukiona hivyo si lazima uruhusiwe na mtu
kiongozi wa kiroho ni mkubwa kuliko, kiongozi wa kundi la wezi
hata ana kofia ya kuwa raisi, any way hii ni nchi yetu na wananchi ndiyo sisi,
hata mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama makelele ya adhana
Kuna kuja utawala mwingine , kuna watu wamekosa platform..na ndio hao ambao wanaweza hata kuwalaza chini, kuwashindisha njaa, kuwatia umasikini na kuwadumaza fikra wale wasiojua kweli huku wakitakiwa kuimba na kusujudu...
Mzee Ubungo (LOL) sikudhani kama nawe upo miongoni mwao hao ...kama ndivyo basi umefilisika..ipo siku uatalalal nje na familia yako. BWANA ASIFIWE!
Niko Old Bagamoyo road nasikia ving'ora vinapigwa kutoka kwenye gari inabidi kuweka gari pembeni nikihisi ni Mheshimiwa au mgonjwa anapita nashangaa kuona Hummer nyekundu na msururu wa magari ukipita kwa kasi na hayo magari yamebandikwa. Picha ya mheshimiwa askofu anakaribishwa nyumbani. Sijui huyu bwana karuhusiwa na nani kwa kutupigia ving'ora na kupita kwa kasi kama kiongozi wa nchi .sasa hata matapeli wanajidai hii ncxhi sijui tunaenda wapi
wala haiko hivyo...mimi sikuwepo hapo, lakini nimefagilia sana walivyofanya, kusema kweli nimepigiwa simu na kuambiwa yaliyotokea kwasababu mimi siko hapo bongo,,na nimefurahi sana. kama niko bongo, saa hizi ni saa nane na nusu usiku kwa saa za Dsm, nani yuko macho kwenye computer sasahivi Dar?...
unaposema nitalala nje na familia yangu, kwasababu gani? unajua kuna swali moja nilikuuliza ile majuzi kuwa "how old are you", kwasababu inaonyesha bado umri wako ni mdogo na ninaogopa kufupisha fikra zangu kujibizana na mtoto mdogo.....I wish you knew me, lakini bahati mbaya you will never know me kwasababu hapa tunatumia majina bandia...ila, nafikiri wa kulala nje ni wewe. hata kama siko miongoni mwao, I appreciate what they do, and siwezi kubisha kuwa, kile wanachofanya na mimi kimenifanya hadi nikawepo hapa kwenye nafasi niliyonayo, ambayo ni ya hali ya juu sana...nashukuru Mungu. ila nawaonea huruma watu walio mbali na upeo kama ngoshwe, kwasababu siku zote huwa wanapinga mambo ya Mungu, kwasababu tu wao ni wakatoliki.....wewe ndo utafilisika na si mimi...tupinge ndani ya miaka hii mitano nani kati yangu mimi na wewe atafisilika...you will remember these words...!!!!!!!!!!!!!
nimekwambia siko Dar, pia sitembei kwa mguu mimi, ukipenda naweza kukusaidia hata wewe uondokane na kutembea kwa miguu. tuache bifu tuchangie mada, yatosha...
iyo gari mnayompiga nayo mawe, amepewa huko huko japan kama zawadi kwasababu anahubiri sana huko japan, korea na china,,,,waumini wake wamemnunulia na ni haki yake kuliendesha...wala msihangaike hivyo...mwacheni ahubiri injili, na mwacheni waumini wake wamfurahie kwa kurudi kwake...