Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

Lol lol lol tupo na Florah anaimba wimbo jipe moyo leo! Ni utukufu mwanzo mwisho!
 
Huyu sio nabii ila ni nabii wa uongo hatabiblia iliandika kunawatakaokuja manabii wauongo.
 
Praise God Askofu amepona wamempeleka nyumbani swala la wamepiga ving'ora waachiwe traffic.
 
Back
Top Bottom