Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

mbona unamtisha watu jaman................kila m2 na iman yake na usichoshe watu
 

Sasa mkuu wakatoliki wanaingiaje hapo? mbona kama unatafuta chokochoko wewe.
In christ are hidden all treasure of wisdom and knowledge.
 
yamekuwa hayo?tena
balaa
 
.... nivizuri tukapata sheria inayomzuia mtu kupita na vingora barabarani. Ilaa... hili swala la kufufua wafu najua aliweza YESU pekeyake,... nachelea kidogo KUAMINI. Halafu hapo kanisani kwake naona KINAMAMA na WATOTO ni wengi kuliko kina baba.... kwamaana kanisa lake limevuta sana matabaka hayo!!!
 
Chezea Gwajima wewe? hujui ni mtu mkubwa na muhimu? we mtu anasababisha kazi ya polis kuwa nyepes kwa kuvuta majambazi yajitaje yenyewe . huoni anasaidia "intelligencia?" Acha vin'gora viimbe. GWAJIMAAAAAAAAA!
 
Chezea Gwajima wewe? hujui ni mtu mkubwa na muhimu? we mtu anasababisha kazi ya polis kuwa nyepes kwa kuvuta majambazi yajitaje yenyewe . huoni anasaidia "intelligencia?" Acha vin'gora viimbe. GWAJIMAAAAAAAAA!

umeona,eee?
mwambie,huyo
mpendwa,tukutane,kesho,bonden,mpendwa.
 
Chezea Gwajima wewe? hujui ni mtu mkubwa na muhimu? we mtu anasababisha kazi ya polis kuwa nyepes kwa kuvuta majambazi yajitaje yenyewe . huoni anasaidia "intelligencia?" Acha vin'gora viimbe. GWAJIMAAAAAAAAA!

umeona,eee?
mwambie,huyo
mpendwa,tukutane,kesho,bondeni
kawe.
 
汇率变动对单方面转移收支的影响:如果一国货币汇率下跌,国内物价水平保持不变或物价上涨缓慢,一般对该国的单方面转移收支产生不利影响;如果一国货币汇率上升,一般会对该国的单方面转移收支发生有利影响,从而使外国向本国的单方面转移增加,改善一国经常项目收支。:A S soccer:
 
nenda west africa ukaone..ni kitu cha kawaida...ungejua hao ndo wanaowaombea hata nyie msingewasumbua...umeona wivu au una matatizo gani..

Kha! Wanamuombea ya nani! wezi wakubwa hao, kazi yao kuwakamua maskini tu kwa sadaka, wanaishi maisha ya kihari kwa kuwanyang'anya wenzao, kweli wajinga ndio waliwao.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 

Ama kweliiii ndini ni kasumba na ni akilevi kibaya sana, kha! Yaani yoote hayo ni mbinu za kukusanya sadaka tu,mnaokota vichaa majalalani halafu mnadai mmefufua, amakweli wajinga mdio waliwao.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Nadhani hicho king'ora kilikuwa na Kibali cha polisi, la sivyo wangeshakamatwa, pengine aliekuwa anaongoza huo msafara ni polisi traffic wenyewe. Askofu wangu wa TAG miaka hiyo alishawahi kupata heshima hiyo ya msafara wake tokea airport kuogozwa na king'ora cha polisi, Mbona ni kawaida sana. Kule Arusha Nabii na mtume mmoja Amekuwa akiongozwa na king'ora mara Kibao tu.
 
七浦路程 一定期望着迷 幻药水
 

Mstahiki DAVIE
 
Ama kweliiii ndini ni
kasumba na ni akilevi kibaya sana, kha! Yaani yoote hayo ni mbinu za
kukusanya sadaka tu,mnaokota vichaa majalalani halafu mnadai mmefufua,
amakweli wajinga mdio waliwao.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

Hebu waache waibiweee mpaka wakome! mwenzao ndani ya Hammer wao watasugua sana visigino! hebu atuambie ukoo wa huyo msukule twende kwa baba na mamake na nduguze na majirani asizingue watu! Hebu tembelea google hapa,@ Mchungaji Michael Njoroge ntv nairobi, uone fix zao hao watumishi.
 

Opium of the People..............
 
Hawa wachungaji wa kilokole ni matapeli wakubwa..haiwezekani wewe unatembelea hummer wakati muumini wako anakosa ata ndala,ata ela ya kula kwake shida alafu unataka akuchangie sadaka ukatanue japan..kama kweli wao wanahubiri dini mbona hawaendi nachingwea,namtumbo,maswa,butuguli au kinyanambo wote wanakimbilia ulaya.kakobe kaenda usa,gwajima japan,mzee wa upako kaenda nigeria kuongeza nguvu akirudi ata miti akiitazama itakauka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…