Gwajima wa Ufufuo na Uzima aja kivingine. Mkwara wa "kufa mtu"

Ukishasikia "mniombee" basi jua ni stori tu za kufariji waumini.
Anyway tumwombee atimize hilo jambo lake!
 
Acha kujimwambafy hapa jukwaani. Tunajua siri zako nyingi sana,hadi za familia yako. Ukiendelea na upumbavu wako hapa tutakuanika!
Gentleman,
kawatishie mamluki malofa wenzio hizo ramli nonsense, not me
 
kondoo wanataka neno la Mungu maana neno la Mungu ni chakula cha roho sasa we kila siku unaingelea siasa kondo wanakuaje kiroho,atambue kuwa wanaomsapoti wengi wanataka kuua huduma ya kiroho awe mwangalifu
 
Dah kulikua kumepoa sana wakuu.

Ila Who is this Guy? Yaani wemgine woote wameufyata mkia ila yeye bado yupo tu πŸ˜€
Hawa ni wale wale usidanganyike
Kwanini anajitokezaga kipindi maalim!

Kipindi cha mahakama ya kadhi
Kipindi cha makonda watu wanaokotwa ufukweni
Kipindi Lissu mahakamani!
Ni mkono wa utawala hadanganyiki mtu hawa ni wale wale.
Atajadiliwa yeye na sio kesi ya Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…