Gwambina FC 0-1 Simba SC | Simba yapaa kileleni

Leo naona Konde Boy hata sub hayupo viwanja vibovu haviwezi. Pia leo wameanza Wote Boko na Kagere.

Kila la kheri mnyama. Kama utopolo waliwafunga Gwambina goli 3, Leo naziona 5
Mtangazaji amesema yeye na Wawa wako suspended kwa sababu ya kadi za njano.

Ila pitch ni mbaya, hakuna biriani, na hawa jamaa jinsi wanavyopress ni rahisi kupoteza mpira mkipasiana.
 
Nilikua nausikilizia kwa redio now mdogomdogo babda umiza
 
Hii cross ya zimbwe ilikua tamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…