Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangazaji amesema yeye na Wawa wako suspended kwa sababu ya kadi za njano.Leo naona Konde Boy hata sub hayupo viwanja vibovu haviwezi. Pia leo wameanza Wote Boko na Kagere.
Kila la kheri mnyama. Kama utopolo waliwafunga Gwambina goli 3, Leo naziona 5
Sisi tutayaamini vp macho yako mkuu..piga picha basi na Sisi tuone hiyo kuumbuka inafananajeHivi ni macho yangu au vipi,naona ni kama kuna kuumbuka hapa leo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tupe majibu mkuu!Hussein Goooooooooooooaal
Bila ubishiGoal la msimu hili
Mhhh really 🤔🤔🤔Mzamiru huwa anaingia kutafuta nini mule