Gwambina FC 0-1 Simba SC | Simba yapaa kileleni

Gwambina FC 0-1 Simba SC | Simba yapaa kileleni

85' Ametoka Kagere na ameingia Mkude upande wa Simba SC

Gwambina FC 0-1 Simba SC
 
Nimesikia Luis na wawa wana kadi za njano, kama hivyo ndivyo wanatakiwa wakose mechi ngapi? Msaada tafadhali
 
90+4' kuelekea kumalizika kwa mchezo wa VPL

Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Gwambina FC

Bao la Mohamed Hussein dakika ya 28' hivyo kuifanya Simba SC kuongoza ligi ya VPL kwa alama 58

Gwambina FC 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom