Gwambina FC 0-1 Simba SC | Simba yapaa kileleni

Gwambina FC 0-1 Simba SC | Simba yapaa kileleni

40' Gwambina FC wamepania sana hii game huku Simba wakijaribu kwa njia yoyote kuongeza bao.

Gwambina FC 0-1 Simba SC
 
45+2' kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Gwambina Complex, VPL

Alijaribu mchezaji jezi namba 14 wa Gwambina FC lakini shuti lake linatoka nje na kuwa Goal Kick

Naaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele kwa bao moja kwa bila dhidi ya Gwambina FC

HT, VPL; Gwambina FC 0-1 Simba SC
 
Kwani simba wanauwanja mzuri?
1619272519077.png
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Gwambina Complex

Mchezo ni mkali Wanaume hawa wanapambana.

Gwambina FC 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom