Gwambina sio kiwanja chenu kiboresheni sio bora kiwanja inatakiwa kiwanja bora

Gwambina sio kiwanja chenu kiboresheni sio bora kiwanja inatakiwa kiwanja bora

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
Gwambina imefanikiwa kuwa team ya kwanza ya daraja la kwanza kumilikibuwanja wao wenyewe.

Kuna baadhi ya vitu nimeviona kwenye uwanja wao nakupata mashaka juu ya ujenzi kwani inaonekana haujakidhi viwango kwa upande wa kiusalama kwani hakuna uzio unaotengsnisha pitch pamoja na mashabiki

Pia itapendeza kama wakiweka nyasi bandia kwani hizo nyasi za asili zinaobekana sio bora

Mimi naamini kemwa Tanzania ubora wa kiwanja ni eneo la pitch viwanja karibu vyote putch ni nyasi asili na ndio maana ni vibovu
1134894
Gwambina complex
1134893
Chamazi complex
 
Kuna Mkurugenzi, Wakati Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Anafanya Ziara Mkoani Mara Ikawa Kituko

Akajitambulisha Akiwa Na Kitete Kihoro Hadi Akakosea
Mimi Ni Mkuruzenzi, Badala Ya Kusema Mkurugenzi
😁😀😂😃😄😅
 
Ni wivu au ni nini?

Kuna timu kongwe hapa hata uwanja wa hivyo hauna .zipo zinatuaribia uwanja wa taifa wetu.unalizungumziaje Jambo hilo
 
Tena bora ata hao Gwambina wana uwanja,zile tim zetu kongwe zmekali umbea tu mtandaoni.
 
Mkuu acha nongwa pitch imetulia kuliko kwa mchina au macho yako yawe na makengeza ,sana sana chakuzungumzia ni mwenye timu katuibia malofa wa Tanganyika mpaka kajenga uwanja bila kuogopa kufungwa
 
Mbona uwanja mzuri sana
Una marekebisho machache sana na kwanza bado wanaendelea na marekebisho.
 
Back
Top Bottom