Gwec-vip.com investment

Gwec-vip.com investment

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Kwa tuliofanikiwa kuwekeza katika platform hii mpya gwec tukutane hapa kwa ajili ya update mbalimbali
 
Baba achana na hii kitu ni utapeli toka jana hela zetu zipo frozen hazitoki maadmin wamefunga chats kwenye group na wamekimbia group zao za Whatsapp kama umefanya muamala kwao cheki na Vodacom tigo or Airtel money warudishe pesa yako kama hawaja toa bado
 
Attachments

  • 17369342330162338973828608293641.jpg
    17369342330162338973828608293641.jpg
    185.3 KB · Views: 5
amkomi eeh, next week nawaletea yangu lazima niwaokote
 
Baba achana na hii kitu ni utapeli toka jana hela zetu zipo frozen hazitoki maadmin wamefunga chats kwenye group na wamekimbia group zao za Whatsapp kama umefanya muamala kwao cheki na Vodacom tigo or Airtel money warudishe pesa yako kama hawaja toa bado
sisi wa fic tusubirie kidogo maana juzi beti ilikataa wakaturefund
 
Back
Top Bottom