Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Mzee baba hayo ndio yalikuwa maisha yake na yalipaswa kuwa hivyo alivyoishi sio unavyotaka au kufikiria wewe na wengineo. Tafsiri ya maisha ni nadharia pana kwa kila kiumbe chenye uhai. Yote kwa yote mashairi na tungo zake yataishi na kudumu.Huyu mzee kwa ugwiji wake
Hakutakiwi kuishi maisha aliyokuwa anaishi
ngoja tuanze kuwaona wanafki
wazee wa legacy na makala
Wanasemaje
Ova
Magwiji huishi muda mfupi. Hata profesa Jize ilitakiwa awe amesepa kitambo. Jina lake lingevuma miaka mingi sana.......hapo vp ........hapo sawaHuyu mzee kwa ugwiji wake
Hakutakiwi kuishi maisha aliyokuwa anaishi
ngoja tuanze kuwaona wanafki
wazee wa legacy na makala
Wanasemaje
Ova
Huyu mzee alikuwa anakaa kinondoni shamba,mwembe sindimba leo wanamzika makaburi ya kinondoni jirani na fm clubSauti ya Kiza alivuma sana Radio Tanzania Dar es salaam na kwenye magazeti kipindi tunakua.
RIP.
Nakumbuka.Huyu mzee alikuwa anakaa kinondoni shamba,mwembe sindimba leo wanamzika makaburi ya kinondoni jirani na fm club
Ukiona mambo aliyofanya,utunzi wa vitabu nk hakutakiwa kuishi maisha aliyokuwa anaishi
Ngoja tuwaone sasa walevwanafki wa mambo ya historia kuelezea blah blah sjui kaachaa pengo,mara pengo lake alizibiki waje waanze kutema cheche
Ova
Sikuwa nikimfahamu ila mimi kama mdau wa Kiswahili sanifu namtakia mapumziko mema ya milele.Msanii mkongwe na miongoni mwa washairi wakubwa nchini na Afrika Mashariki, Amir Sudi Andanenga amefariki dunia usiku wa Mei Mosi, 2024.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Chama cha Usanifu wa Kiswahili na Ushairi nchini (UKUTA), marehemu Andanenga amekutwa na umauti akipatiwa matibabu katika hospitali ya Dkt. Mvungi, Kinondoni, Dar es Salaam.
Maziko ya Andanenga aliyefahamika zaidi kwa jina la sanaa ya ushairi la ‘Sauti ya Kiza’ yanatarajiwa kufanyika leo tarehe mosi, Mei 2024 wilayani Kinondoni Dar es Salaam.
RIP Mzee wetu ANDANENGA
Mimi siku hizi Unafiki sitaki.....nakupa sifa Yako ukiwa hai nawe nipatie yangu nikiwa hai.....ohhh marehemu alikuwa hivi mara vile kimeshuka kikapandaHuyu mzee alikuwa anakaa kinondoni shamba,mwembe sindimba leo wanamzika makaburi ya kinondoni jirani na fm club
Ukiona mambo aliyofanya,utunzi wa vitabu nk hakutakiwa kuishi maisha aliyokuwa anaishi
Ngoja tuwaone sasa walevwanafki wa mambo ya historia kuelezea blah blah sjui kaachaa pengo,mara pengo lake alizibiki waje waanze kutema cheche
Ova
Duuh mdau wa kiswahili hlf humjui huyo mzee?[emoji848]Hapo umetupiga mkuu.Sikuwa nikimfahamu ila mimi kama mdau wa Kiswahili sanifu namtakia mapumziko mema ya milele.