TANZIA Gwiji wa Kiswahili, Mzee Amiri Soud Andanenga ametutoka

Sauti ya Kiza alivuma sana Radio Tanzania Dar es salaam na kwenye magazeti kipindi tunakua.

RIP.
Kweli kabisa, nguli kabisa huyu wa fasihi na mambo ya ushahiri

Wale wazee wenzake wote mahiri wa lugha ya kiswahili wameondoka mmoja baada ya mwingine, wamekwisha sasa.

Wakongwe wengine enzi hizo za rtd walikuwa Mohammed Mwinyi, Shaaban Gonga, Jumanne Mayoka, Suleiman Hegga, Hamisi Akida, Jumanne Mokiwa. ilikuwa burdan sana kuwaskiza watu hawa. m/mungu awarehemu
 
R.I.P
 
Naam,

Umenitajia majina sijayasikia miaka mingi. Hawa ilikuwa wakifanya malumbano ni burudani tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…