Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Ni Plugin Hybrid kutoka China tena.
Kampuni la magari kutoka China kwa jina la Great Wall Motors, kupitia sub-brand yake ya Wey, wamezindua SUV moja kali sana iitwayo Lanshan IDE (Intelligent Driving Edition).
Hii ni SUV kubwa, ina size ya 5156/1980/1805 mm kwa vipimo vya urefu, upana na kimo, na wheelbase ni 3050 mm. Kwa nje kuna lidar pale juu ya kioo cha mbele, pia kuna radars 15 jumla na camera 11 HD kwaajili ya kusupport Coffee Pilot Ultra intelligent driving assistance system.
Hii plugin-hybrid inaendeshwa na 1.5T engine, ikiwa na motors mbili mbele na nyuma. Engine pekee inatoa 168hp, na acceleration ya 0-100km/h ndani ta 4.9 seconds.
Battery zipo za aina mbili, kuna 44.5 kWh (ambayo in pure EV itakupa range ya 185 km na comprehensive range ni 1307 km) na kubwa yake 52.3 kWh (hii pure EV inakupa 220 km na comprehensive range ya 1342 km).
Kwa ndani, kwenye cockpit kuna screen mbili za 15.6 inch, na dereva wewe una instrument panel yako ya 12.3 inch LCD screen na juu (kwenye ceiling) kuna screen ya entrainment ambayo ni 17 inch, na bado tena kuna 29 inch Coffee SR-HUD. Okay, na cockpit yoote iko inaendeshwa na Qualcomm Snapdragon 8295 SoC na OS yake ni Coffee OS 3.
Ndani huko kuna mistari mitatu ya seat (2+2+2) na seat za nyuma wana AC zao, meza, mapazia, massage eats, heated seats, ventilated seats, na leg rest.
Na bado kuna friji la lita 7 linalopatikana kwenye armrest box. Jumla ya spika 23 zipo ndani ya gari.
Tusubirie bei ikitangazwa.