FLAVOR
Senior Member
- Jun 13, 2012
- 138
- 49
Baada ya kuuza gari iliyokuwa inasumbua kupata spare gari za bara ulaya, sasa nafikiria kuchukua GX100 sababu ya confortability na engine, wese kwangu siyo issue sana. Ila napenda kupata maoni ya watumiaji, je ni kweli gari hili linatatizo kubwa kwenye suspensions, kwamba kila baada ya mvua lazima ukabili links?
Nimeamua Hilo sababu spare ni nyingi sana.
Naomba maoni,ushauri na mapovu
Nimeamua Hilo sababu spare ni nyingi sana.
Naomba maoni,ushauri na mapovu