GX100 naomba maoni yenu watumiaji

GX100 naomba maoni yenu watumiaji

FLAVOR

Senior Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
138
Reaction score
49
Baada ya kuuza gari iliyokuwa inasumbua kupata spare gari za bara ulaya, sasa nafikiria kuchukua GX100 sababu ya confortability na engine, wese kwangu siyo issue sana. Ila napenda kupata maoni ya watumiaji, je ni kweli gari hili linatatizo kubwa kwenye suspensions, kwamba kila baada ya mvua lazima ukabili links?

Nimeamua Hilo sababu spare ni nyingi sana.

Naomba maoni,ushauri na mapovu
 
MAGARI



to me, its among of my favourite ride. iko ngumu sana, inakimbia. body yake si kama hivi vigari sijui allex runx wish raum wateva. chukua gx 100
 
Hiyo ni mashine hasa ukiwa na safari za mbali wala hauwazi
 
Mi nilikuwa nayo Mark2 Grande gx100, imenisumbua sana ball joint wkt wa mvua, ila tatizo lilikuwa langu mwenyewe nilikuwa nanunua used ambazo hazina garantii,hvyo nakushauri tumia spea mpya na halisi utalifurahia gari lako!Hyo gari iko poa
 
Back
Top Bottom