Lete picha ya aina za hayo magari na budget yako compared na ile ya kuagiza na kwenye showroomWakuu habari habari ya Ramadhani na Kwaresma!? Awali ya yote ningependa kutanguliza shukrani zangu kwa majibu yenu mazuri naamini yatanipa mwanga juu ya haya magari mawili natamani nipate moja ila sijajua lipi litanifaa kwa mishe zangu, ni Mtu wa ruti za mikoani na nina familia kam ifuatavyo, Mimi, Mke na Watoto wawili wa miaka6 na 7, kwahiyo gari ipi itakuwa nzuri kati ya hizo!? Wakuu naombeni ushauri.
Unaposema moja saloon na moja sedan una maanisha nini mkuu?Una selection ya kizamani. Hizo gari zote mbili ni type mbili kabisa moja saloon nyingine sedan. Consumption ya mafuta zote si nzuri , zote si gari ngumu unless unakaa masaki na round zako zipo centre, zote resale value yake ni ndogo. Kwa muktaza huo huo nakushauri substitute gx110 kwa toyota premio. Substitute ipsum kwa atleast toyota wish. Itakuletea tofauti ya around 3m kwenye budget