Salih
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 642
- 420
Wakuu habari habari ya Ramadhani na Kwaresma!?
Awali ya yote ningependa kutanguliza shukrani zangu kwa majibu yenu mazuri naamini yatanipa mwanga juu ya haya magari mawili natamani nipate moja ila sijajua lipi litanifaa kwa mishe zangu, ni Mtu wa ruti za mikoani na nina familia kam ifuatavyo, Mimi, Mke na Watoto wawili wa miaka6 na 7, kwahiyo gari ipi itakuwa nzuri kati ya hizo!?
Wakuu naombeni ushauri.