Gym inamaliza nguvu za kiume?

Gym inamaliza nguvu za kiume?

Buenos Aires

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
1,894
Reaction score
1,622
Habari wakuu?

Msaada wenu, kwa wale mnaobeba vyuma/gym, je! Nikweli inamaliza nguvu za kiume? Ama kuleta madhara yoyote sehemu husika?? Natumaini mtanipa jibu zuri wakuu, mubarikiwe sana.

Weekend njema bandugu!
 
Hamna ukweli wowote uliodhihirisha hilo, hii dhana nowadays inakuzwa na baadhi yenu mitandaoni kuwadhalilisha wafanya mazoezi.

Hata humo gym kuna ke na me sasa hao ke nao wanapata hilo tatizo?.

Fikra kama hizo jibu lake ni kumtafuta mtaalam wa afya au wale walimu wa mazoezi wakupe ukweli.
 
Habari wakuu?

Msaada wenu, kwa wale mnaobeba vyuma/gym, je! Nikweli inamaliza nguvu za kiume? Ama kuleta madhara yoyote sehemu husika?? Natumaini mtanipa jibu zuri wakuu, mubarikiwe sana.

Weekend njema bandugu!
HAPANA.

Tena zaidi ukifanya mazoezi vizuri, hasa jogging na squatting inakuweka vizuri zaidi kwa kuimarisha misuli na kuondoa mafuta mwilini na manyama uzembe hivyo kuimarisha nguvu za kiume na sio kumaliza.

Exercise yourself, drink more water.
 
Habari wakuu?

Msaada wenu, kwa wale mnaobeba vyuma/gym, je! Nikweli inamaliza nguvu za kiume? Ama kuleta madhara yoyote sehemu husika?? Natumaini mtanipa jibu zuri wakuu, mubarikiwe sana.

Weekend njema bandugu!
Actually ni opposite, kulift heavy weights inasaidia kuongeza uzalishaji wa homoni ya testosterone ambayo inasaidia kuongeza utengenezaji wa misuli na kuongeza sexual drive au nguvu za kiume.
 
Habari wakuu?

Msaada wenu, kwa wale mnaobeba vyuma/gym, je! Nikweli inamaliza nguvu za kiume? Ama kuleta madhara yoyote sehemu husika?? Natumaini mtanipa jibu zuri wakuu, mubarikiwe sana.

Weekend njema bandugu!
Kuna kitu hakiko sawa kwenye gym sijajua sana ila wanaopenda sana gym mwisho wa siku mwili mkubwa halaf wazembe flani hv na tabia za kishoga shoga...mazoez ni mazur ila usipoteze mwonekano wa kawaida na usifanye too much na pia ukiona gymvina shoga mwalimu kimbia hapo au dalili ya ishiga shoga kimbia kabisa
 
Nguvu za kiume ni saikolojia yako tu. Ukitunza afya vzr nguvu zipo automatically. Ukiugua some disease perfomance inashuka. Halafu sio kila siku ni Jumapili, kuna days unapiga shows za kibabe na kuna siku una underperfom, kikubwa saikolojia ifahamu kuwa maji kuna kupwa na kujaa... Tuache woga usio na faida.
 
Back
Top Bottom