Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Kumbe ni wengi na sio wote.Wanasema narudia "wanasema" mabaunsa wengi ni mashoga.....
HAPANA.Habari wakuu?
Msaada wenu, kwa wale mnaobeba vyuma/gym, je! Nikweli inamaliza nguvu za kiume? Ama kuleta madhara yoyote sehemu husika?? Natumaini mtanipa jibu zuri wakuu, mubarikiwe sana.
Weekend njema bandugu!
Actually ni opposite, kulift heavy weights inasaidia kuongeza uzalishaji wa homoni ya testosterone ambayo inasaidia kuongeza utengenezaji wa misuli na kuongeza sexual drive au nguvu za kiume.Habari wakuu?
Msaada wenu, kwa wale mnaobeba vyuma/gym, je! Nikweli inamaliza nguvu za kiume? Ama kuleta madhara yoyote sehemu husika?? Natumaini mtanipa jibu zuri wakuu, mubarikiwe sana.
Weekend njema bandugu!
Kuna kitu hakiko sawa kwenye gym sijajua sana ila wanaopenda sana gym mwisho wa siku mwili mkubwa halaf wazembe flani hv na tabia za kishoga shoga...mazoez ni mazur ila usipoteze mwonekano wa kawaida na usifanye too much na pia ukiona gymvina shoga mwalimu kimbia hapo au dalili ya ishiga shoga kimbia kabisaHabari wakuu?
Msaada wenu, kwa wale mnaobeba vyuma/gym, je! Nikweli inamaliza nguvu za kiume? Ama kuleta madhara yoyote sehemu husika?? Natumaini mtanipa jibu zuri wakuu, mubarikiwe sana.
Weekend njema bandugu!