We endelea kula hizo whey protein zako..utakuja siku moja kuomba ushauri humu..achana nae huyo mkuu....hajui anachokiongea....[HASHTAG]#FitnessForLife[/HASHTAG]
Kabisa mkuu..watu wengi sana kwanza ckuiz wanatumia maana wameshajua faida zake..sio unaingia gym unajiteeesa hahah..achana nae huyo mkuu....hajui anachokiongea....[HASHTAG]#FitnessForLife[/HASHTAG]
Hamna kitu kama hiko..We endelea kula hizo whey protein zako..utakuja siku moja kuomba ushauri humu..
Unataka kuwa na mwili feki...kama unataka kuwa na mwili wa mazoezi fanya mazoezi kweliKabisa mkuu..watu wengi sana kwanza ckuiz wanatumia maana wameshajua faida zake..sio unaingia gym unajiteeesa hahah..
Ntakuja kukuandikia link ya huu uzi wako...kipindi umefungua uzi wa kuomba ushauriHamna kitu kama hiko..
Mimi nimefanya mazoezi miaka 7 tangu sijui suppliments ni nini mzee..nilishakua na mwili mkubwa adi nikiingia staff walimu wanatetemeka..alaf nakumbuka naingia gym siku ya kwanza kabisa watu wakijua nawachora sbb ya nature ya mwili wangu unavyoitika kwenye tizi..ko chuma nakiangalia tu nshakichoka adi nimekikinai..hamna kipya nitumie wala nicpotumia izo suppliments..uzuri ata kula pia nakula vzuri..Unataka kuwa na mwili feki...kama unataka kuwa na mwili wa mazoezi fanya mazoezi kweli
ina madhara makubwa bro...lazima uende gym na utumie...
Mmmmmmmhmkuu ujanielewa...uwezi kula hiyo kitu bila kufanya mazoezi...haina madhara ndio lakini sio afya kula tu pasipo kuwa na lengo...Me mwenye mtumiaji sana
Itakufanya ujazie kila sehemu ikiwemo makalio...
Je ukiacha kutumia inakuwa na madhaara gani ?natumia five years now..nipo normal mkuu
Naomba kufahamu zaidi mkuuWe tupe mrejesho wa nani umemuona ametumia na ajafanya mazoez akapata madhara..
Au makala ipi imeandika..na mm nikupe ushuhuda wa makala na nikuPm picha na suppliment nnayotumia kwa sasaivi ingawa sio whey protein na nnaingia mara moja kwa week gym..
Mkilaga izo ni mnakuwa na mwili tu but nguvu hamna kituKabisa mkuu..watu wengi sana kwanza ckuiz wanatumia maana wameshajua faida zake..sio unaingia gym unajiteeesa hahah..
Pamoja na kuwa na mwili feki wanakuwaga hawana nguvu piaUnataka kuwa na mwili feki...kama unataka kuwa na mwili wa mazoezi fanya mazoezi kweli
Pretein unakuwaje na mwili feki kivipi unajua kazi ya protein mwilini.Pamoja na kuwa na mwili feki wanakuwaga hawana nguvu pia
Mimi nimefanya mazoezi miaka 7 tangu sijui suppliments ni nini mzee..nilishakua na mwili mkubwa adi nikiingia staff walimu wanatetemeka..alaf nakumbuka naingia gym siku ya kwanza kabisa watu wakijua nawachora sbb ya nature ya mwili wangu unavyoitika kwenye tizi..ko chuma nakiangalia tu nshakichoka adi nimekikinai..hamna kipya nitumie wala nicpotumia izo suppliments..uzuri ata kula pia nakula vzuri..
Pretein hii itakua ni Co. inayouza mabati.Pretein unakuwaje na mwili feki kivipi unajua kazi ya protein mwilini.
Watanzania munatatizo kwenye ufahamu.
Protein.Pretein hii itakua ni Co. inayouza mabati.
Nani kakwambia wanaenda gym kujiandaa kuwa walinzi. Mtu anatumia supplements za bei kwa muda na ana muda wa kutosha kufanya mazoezi wewe unamtisha na nguvu. Haendi kubeba zege huyoMkilaga izo ni mnakuwa na mwili tu but nguvu hamna kitu
Kwani kuwa na nguvu ndo unakuwa mlinzi au mbeba zege?? We wawapi bhana!!!! , kuwa na mwili jumba bila kuwa na stamina uwo ni umamaNani kakwambia wanaenda gym kujiandaa kuwa walinzi. Mtu anatumia supplements za bei kwa muda na ana muda wa kutosha kufanya mazoezi wewe unamtisha na nguvu. Haendi kubeba zege huyo