Gym (whey protein supplement)

Gym (whey protein supplement)

Kabisa mkuu..watu wengi sana kwanza ckuiz wanatumia maana wameshajua faida zake..sio unaingia gym unajiteeesa hahah..
Unataka kuwa na mwili feki...kama unataka kuwa na mwili wa mazoezi fanya mazoezi kweli
 
Unataka kuwa na mwili feki...kama unataka kuwa na mwili wa mazoezi fanya mazoezi kweli
Mimi nimefanya mazoezi miaka 7 tangu sijui suppliments ni nini mzee..nilishakua na mwili mkubwa adi nikiingia staff walimu wanatetemeka..alaf nakumbuka naingia gym siku ya kwanza kabisa watu wakijua nawachora sbb ya nature ya mwili wangu unavyoitika kwenye tizi..ko chuma nakiangalia tu nshakichoka adi nimekikinai..hamna kipya nitumie wala nicpotumia izo suppliments..uzuri ata kula pia nakula vzuri..
 
Wengi hawajui nn maana ya Supliment ,wanaishia kuiponda tu,ila kuna nzuri na mbaya...zipo sokoni nyingi tu....unatakiwa ujue unahitaji ipi...
 
We tupe mrejesho wa nani umemuona ametumia na ajafanya mazoez akapata madhara..

Au makala ipi imeandika..na mm nikupe ushuhuda wa makala na nikuPm picha na suppliment nnayotumia kwa sasaivi ingawa sio whey protein na nnaingia mara moja kwa week gym..
Naomba kufahamu zaidi mkuu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimefanya mazoezi miaka 7 tangu sijui suppliments ni nini mzee..nilishakua na mwili mkubwa adi nikiingia staff walimu wanatetemeka..alaf nakumbuka naingia gym siku ya kwanza kabisa watu wakijua nawachora sbb ya nature ya mwili wangu unavyoitika kwenye tizi..ko chuma nakiangalia tu nshakichoka adi nimekikinai..hamna kipya nitumie wala nicpotumia izo suppliments..uzuri ata kula pia nakula vzuri..

Unaonekana una hela mzee!
 
Mkilaga izo ni mnakuwa na mwili tu but nguvu hamna kitu
Nani kakwambia wanaenda gym kujiandaa kuwa walinzi. Mtu anatumia supplements za bei kwa muda na ana muda wa kutosha kufanya mazoezi wewe unamtisha na nguvu. Haendi kubeba zege huyo
 
.
Nani kakwambia wanaenda gym kujiandaa kuwa walinzi. Mtu anatumia supplements za bei kwa muda na ana muda wa kutosha kufanya mazoezi wewe unamtisha na nguvu. Haendi kubeba zege huyo
Kwani kuwa na nguvu ndo unakuwa mlinzi au mbeba zege?? We wawapi bhana!!!! , kuwa na mwili jumba bila kuwa na stamina uwo ni umama
 
Back
Top Bottom