Gypsum board nzuri zaidi kwa sasa

Gypsum board nzuri zaidi kwa sasa

msakhara

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
277
Reaction score
381
Habari wakuu,
Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni.

Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo:

Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000)
-Gyproc
-Oriana

Made in Thailand [Tsh 24000-27000]
-Standard gypsum

made in Tz (bei nafuu Tsh 12000-16000)
Double elephant
Knauf
Andika
BBG

-Kwa uzoefu wenu, utofauti wa board hizi huwa ni nini?
-Board zipi ni bora?
-Ubora unapimwaje ili kuepuka uchakachaji wa wafanyabiashara wasio waaminifu?
Tuelimishane.
 
Mimi nilitumia Gyproc,hizo zote zikiwekwa zinakaa vizuri lakini kuna zinazonyonya rangi.

Yaani wakati wa kuzipiga rangi kama moja ulikuwa utumie ndoo mbili nyumba nzima utatumia ndoo zaidi ya hizo so chukua either India au Thailand.
 
Back
Top Bottom