Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kahamia kwa Konde kisa kaimbwa kwenye Uno hahahahaaa wasukuma bana daah!!!Huyu aliyesema kaibiwa my numbe one na Mondi,sasa hivi sijui anafanya nini?,kaanza kwa Kiba sasa hivi yupo Kwa Kondeboy,kesho sijui atakuwa kwa nani.