H. Baba msanii mwenye Jumba kali kuliko wote Tanzania

Kama anaweza post kitu si chake atakuwa fala sana, ila we never know labda jamaa ana deal nyingine za maana.
Kuna yule msanii mwingine wa kutokea mwanza aliyekuwaga ana date Naj yule mhindi alishawahi kuhojiwa na Tv kwenye nyumba aliyopanga na akadai yake amejenga pia usimsahau Wema
 
Kuna yule msanii mwingine wa kutokea mwanza aliyekuwaga ana date Naj yule mhindi alishawahi kuhojiwa na Tv kwenye nyumba aliyopanga na akadai yake amejenga pia usimsahau Wema
Hv wema ana jumba la millioni mia nne (400) kijitonyama au?
 
Kuna yule msanii mwingine wa kutokea mwanza aliyekuwaga ana date Naj yule mhindi alishawahi kuhojiwa na Tv kwenye nyumba aliyopanga na akadai yake amejenga pia usimsahau Wema
Mtu anaposti nyumba ya mama wa dem wake anasema yake duh kuna watu wana vifua vigumu[emoji23] [emoji23]
 
wasanii wa bongo wanaposti posti vitu vya watu na kujikweza kuwa vyao mfano chibu perfume, karanga na wasafi tv
 
Mimi ninavyoona hawana beef maana miezi miwili iliyopita H.baba alisema iwapo Diamond atafunga ndoa na The boss lady,basi yeye atatoa ng'ombe 7 tena yale mafahari. au ndiyo ilikuwa ni kumdharau au vipi kwa kuwa wasanini ni wasanii tu unaweza ukafikiri anamaanisha hiki kumbe yeye anamaanisha kile
 
Hivi huyujamaa ni mtanzania kweli? Mbona ana mandevu uso mzima!! Naomba uhamiani wamuite atuoneshe cheti cha baba, babu, bibi na baba yake babu
Pia huwa nahisi jamaa anatumia yale mamiti waliyoagiza polisi wasiyakate
nilikuwa nawaza tu waungwana
acha umburula wew mbona kina bakhresa na wale wahindi aujaawaomba vyeti
 
chuki
 
Nna mashaka na umiliki wa iyo nyumba kuna watu hawana haya hata kupost kitu ambacho siyo chake
Naunga mkono hoja,,,yeye kapost picha ya nyumba,,,,wabongo tunamlisha maneno,,,,itakiwa sio yake.,,namuona mara kwa Mara MAGOMENI kwenye maskani za madalali wa kuuza MAGARI,,,anatiatia HURUMA,,,
 
hahhahaha mi ndio siwezigi kumsifia mtu ili anione utaishia kumbwela mbwela ili akuone mwisho wa siku unarudia kumchukia. Kuwa real sifia kutoka koyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…