mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Nashindwa ku quote comment zako zenye maneno mengi nikijaribu app ina crash.Hivi definition ya nyumba nzuri ni nn!?? Eti me huwa naona ni usingizi tu...!!! Maana hata ukijenga nyumba ya 10billioni,si utakuwa unaingia kulala tu sawa na mwenye nyumba ya tope yenye makuti,wote mnapitiwa na usingizi!!
Mkuu pesa unaitafuta uitumie yani hata uiche izaane haina maana utaiacha tu so kama una uwezo jenga nyumba roho inapenda.
Unaposema unaweza jenga nyumba ndogo ikawa na kila kitu AC, majacuz, ma electric fence, alarm systems, mabustan na kila litu hiyo siyo tena nyumba ya udongo wala milion 7.
Hata mimi niliposema nyumba ya milion 200 hailingani na nyumba ya milion 7 sikumaanisha lazima nyumba ya milion 200 iwe jumba kubwa.
Kama ela ipo hata nyumba ya bilion unajenga kwani shida iko wapi.
Matajiri waliopata exposure wanajenga manyumba mazuri, matajiri waliopata ela lakini hawana exposure ndio wanaendelea zizalisha huku wakiishi maisha ya kawaida hapo ndipo uwa nakosa kujua hiyo ela inatafutwa ili izalishwe tu...
Kazi ya ela ni kuitumia siyo kuizalisha tu pesa ikowepo jenga nyumba matata, sukuma mkoko wa maana