H. Baba msanii mwenye Jumba kali kuliko wote Tanzania

Hivi definition ya nyumba nzuri ni nn!?? Eti me huwa naona ni usingizi tu...!!! Maana hata ukijenga nyumba ya 10billioni,si utakuwa unaingia kulala tu sawa na mwenye nyumba ya tope yenye makuti,wote mnapitiwa na usingizi!!
Nashindwa ku quote comment zako zenye maneno mengi nikijaribu app ina crash.
Mkuu pesa unaitafuta uitumie yani hata uiche izaane haina maana utaiacha tu so kama una uwezo jenga nyumba roho inapenda.
Unaposema unaweza jenga nyumba ndogo ikawa na kila kitu AC, majacuz, ma electric fence, alarm systems, mabustan na kila litu hiyo siyo tena nyumba ya udongo wala milion 7.
Hata mimi niliposema nyumba ya milion 200 hailingani na nyumba ya milion 7 sikumaanisha lazima nyumba ya milion 200 iwe jumba kubwa.
Kama ela ipo hata nyumba ya bilion unajenga kwani shida iko wapi.
Matajiri waliopata exposure wanajenga manyumba mazuri, matajiri waliopata ela lakini hawana exposure ndio wanaendelea zizalisha huku wakiishi maisha ya kawaida hapo ndipo uwa nakosa kujua hiyo ela inatafutwa ili izalishwe tu...
Kazi ya ela ni kuitumia siyo kuizalisha tu pesa ikowepo jenga nyumba matata, sukuma mkoko wa maana
 
Yeye amapata kazi ya kupanda maua hapo, sasa pivu mnalolitoa la nini, yaani mtu asipige picha kazini kwake?
 
Nope hiyo ni nyumba ya kawaida.
Na nimpongeze kwa achievement hiyo ukizingatia kuna makatibu wakuu mpaka wana staafu wamepanga.

NB:Super Nyamwela ndie msanii mwenye nyumba kali sana nadhani kuliko wote.
Weka picha ya uthibitisho
 
Hii nyumba ipo igoma lakin sizan kama ni yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…