H.E.S.L.B yategemea kutoa majina ya waliopata mikopo wiki ya pili ya mwez october.

Kwaiyo ndio unailinganisha na school of law ya mlimani sio!!!!??
 

Hiyo siyo website ya gazeti la habari leo, website yao ni hii http://www.habarileo.co.tz/
 
haya ni majanga,ila bodi wanachofanya sio poah,viongoz wa vyama pinzan cjui kwanin ili swala hawalion!
 
inavyoonekana hizo wiki tatu zijazo ni hela ndio zitatoka na sio majina ya watakaopata mkopo.
 
Eeeh! Mungu baba. Shauku yetu ni kusoma na si vinginevyo. Bwebwe hatutaki kabisa
 
wewe uliyepost taarifa ya heslb kumbuka uwongo na ukweli ni maadui siku zote acha kuwapa watu presha....... watchout...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…