H.O.D. nimerudi

heaven on desert yaan sisi tukaanza kazi yako humu jamvini ya kukusaidia bosi wako kuzomewa mpaka basii
Njoo ujibu maswali yetu yooteeee
Hiyo picha ya kwanza umejipaka manini sasaa naweee unatuaibisha sasaaa
 
Last edited by a moderator:
Jf wengine tumejiunga jana tu, unaposema umerudi hata hatukuelewi, kwamba wewe ni nani? na ulikuwa umeenda wapi? na lengo lako la kutuambia amerudi nini? na sisi tufanyaje? .

Hhhhhhaaaaaaaaa huyu ni mfanyakazi wa Diamond platnum ni mpiga pichaa mzuri wa Diamond zile picha zotee uzionazo za Daimond ni huyu jamaaa kazipiga na kuzitengeneza kwa kiwango cha hali ya juuu
 
Mbona leo umebadilisha jukwaa?tumezoea kukuona celebrities forum...imekuwaje?
Hata hivyo jamaa una sura ngumu wewe hatari...hiyo picha yako ya kwanza imenitisha....
Yani too much editing!kama zombie yani...hajiamini na uasilia wake
 
Mkuuu tukisema kila mtu aweke picha yake nadhan majina yote ya mbugani utayamention Lmfao
Wala is kweli watu tuna sura ngumu kama gamba kla kobe lakini hatufanyi photoshop kiasi kwamba binadamu wenzio wakakuogopa!!nia ni nini haswa ili uwe kisura au??Haya karudi hana jipya zaidi ya kuringishia tshirt ya NY na kajihariri mpaka anang'aa kama naniliu wa bongo movie
 
Labda alikuwa anapiga kwa ajili ya tangazo!!
Hapo unaweza kukuta yuko njema tu na muonekano wake bila hata mapowder!

Kashaweka picha zake humu Mara kibao ila hiyo ya Photoshop kajiharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…