the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,755
- 835
Hahaaaa aisee. Kwa hiyo unataka kusema kwamba kuna watu wanafanana na nyani na viboko humu.
Jastblez wewe ndo umesema mi sipendi bifu humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa aisee. Kwa hiyo unataka kusema kwamba kuna watu wanafanana na nyani na viboko humu.
jamaa mbona mrembo hiyo photoshop ndo imeharibuMkuuu tukisema kila mtu aweke picha yake nadhan majina yote ya mbugani utayamention Lmfao
ce qui ne va pas avec vous?
heaven on desert yaan sisi tukaanza kazi yako humu jamvini ya kukusaidia bosi wako kuzomewa mpaka basii
Njoo ujibu maswali yetu yooteeee
Hiyo picha ya kwanza umejipaka manini sasaa naweee unatuaibisha sasaaa
Jf wengine tumejiunga jana tu, unaposema umerudi hata hatukuelewi, kwamba wewe ni nani? na ulikuwa umeenda wapi? na lengo lako la kutuambia amerudi nini? na sisi tufanyaje? .
hahaaaa inabidi atugawie salary yake... ile kazi haikua ndogo
bora we umemsifia lol
Kabisaaaa atuwagiweee lasivyoo tutaacha bosi wake apakwe matope mpaka wamsahau mpaka tumechukiwaa jamaniii
Ila hiyo picha hapo juu mimi hoii
Yani too much editing!kama zombie yani...hajiamini na uasilia wakeMbona leo umebadilisha jukwaa?tumezoea kukuona celebrities forum...imekuwaje?
Hata hivyo jamaa una sura ngumu wewe hatari...hiyo picha yako ya kwanza imenitisha....
Hahaha, funny
Wala is kweli watu tuna sura ngumu kama gamba kla kobe lakini hatufanyi photoshop kiasi kwamba binadamu wenzio wakakuogopa!!nia ni nini haswa ili uwe kisura au??Haya karudi hana jipya zaidi ya kuringishia tshirt ya NY na kajihariri mpaka anang'aa kama naniliu wa bongo movieMkuuu tukisema kila mtu aweke picha yake nadhan majina yote ya mbugani utayamention Lmfao
Mkuu kwani Kifesi sio kisura? Lol
Yani too much editing!kama zombie yani...hajiamini na uasilia wake
jamaa mbona mrembo hiyo photoshop ndo imeharibu
Labda alikuwa anapiga kwa ajili ya tangazo!!
Hapo unaweza kukuta yuko njema tu na muonekano wake bila hata mapowder!
Basi tumuite kisura majivu....haha
Ila vijana wa digitali wana kazi aisee, bila kujipodo picha hairuki!