H.O.D. nimerudi

H.O.D and H.O.E
Haya majina mlikuwa mna idea nzuri,yamefanana.

Hivi my lovito Heaven on Earth we kati ya Diamond na Alikiba we team Nani?

It was just a coincidence...,

Mie wote hao nawapenda.., ila Diamond ni zaidi, mbona umequote post zote hizo
 
Last edited by a moderator:
It was just a coincidence...,

Mie wote hao nawapenda.., ila Diamond ni zaidi
please tell me kama unaupata wimbo mmoja wa kikenya wa zamani kidogo halafu girl ndo kaimba kwenye kiitikio sijui ''nakutaka,nakujali nakutaka pia'halafu mwanaume anaitika na ''nakutaka pia'',duh nimeukumbuka nata niutafute unitwaje?
 
Sijaukumbuka vizuri.. red san nae ana wimbo mmoja waitwa nakutaka sijui ndio huo...

Dedication nini??
 
Ni kweli ni name calling akireport abuse wanaweza kukuban....,

Mpwa kanichekesha lakin.. maana hujamuuliza swali akajibu yeye

Hhhhhaaaaa basi anisameheee niombeepo kamsamahaaa ila ni yeyee siku zote najua hilo na wengi wanajua
 
Pumbavu ukajipost kwenye forum ya celebrities? Chesco muuza matunda ni celbrity and you are not...idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…