H.O.D. nimerudi

H.O.D. nimerudi

utawapata,si unapenda kulelewa ila angalia usitumbukie kwenye mchezo wa KADINDA we bado kijana mdogo sana
 
Mkuu kwani wakisema umefukuzwa kazi halafu ukweli kwamba hujafukuzwa kwani wewe una jali nini? Ina maana wewe unaishi kwa kutegemea watu wanasemaje? Pole kwa mfadhahiko!
 
Nilitaka nikuite kumbe ushafika kwenye uzi wa best yako........

best yangu tangu lini Vin..............

Inasemekana mnamendeana kitambo....mie simo lakini...

Inasemekana na nani ?

Unataka nikuletee mashahidi hapa? halafu huyu best ako kapaka majivu usoni?

walete.... hahaa imebidi nikaiangalie picha upya huko usoni lol

Atakua kazidisha ma powder..,

Kwanini umruhusu ajikandike yote hiyo....halafu yeye kati ya picha zooote kaona hiyo ndo inafaa, ulikuwa wapi kumshauri?

Vin labda hayo ndio maisha aliyoyachagua......, nimshauri mi kama nani kwake......

Kwani wewe ni nani yake....hebu leo vunja ukimya

Bora wewe uulize maana...

Member mwenzangu wa JF.........

Curiosity ya kutaka kujua........

cc Vin Diesel

wacha weeee....

Curiosity killed a cat.....

Am ready to die then.........

I hope jibu limeeleweka

Ready to die for HOD???? didnt know that

crystal clear....

I never said that......, Why are u putting words into my mouth

The chat context made me say that....so what/who are u ready to die for?

Vin I am responsible for what I say, Not what you understand...

H.O.D and H.O.E
Haya majina mlikuwa mna idea nzuri,yamefanana.


Hivi my lovito Heaven on Earth we kati ya Diamond na Alikiba we team Nani?
 
Last edited by a moderator:
Kuna uvumi umeenea mtaani kwamba Diamond atatunukiwa Phd ya heshima na UDSM kuna ukweli wowote kuhusu hili heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom