Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mrembo kisura.
Hahahaaaa yote hayo yake jamani???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrembo kisura.
hahaaaaaa eti kapaka majivu lol
Mi pia,tupe mapya kuhusu Dangote nawe unapoteaga mno
Ushawahi kuona uso wa fisi ulivyo?
Hakuna mapya zaidi ya Diamond kuzomewa na kulazimisha Phd ya dezo wakati hata certificate hana.
Hakuna mapya zaidi ya Diamond kuzomewa na kulazimisha Phd ya dezo wakati hata certificate hana.
Sijakuuliza nadhani, thanks
Haya siku nyingine ntakuulizaa sawa Matola
Hii ni name calling, je una hamu na ban?
Sina hamu na ban kabisaa
Then delete ur post before further action.
Nilitaka nikuite kumbe ushafika kwenye uzi wa best yako........
best yangu tangu lini Vin..............
Inasemekana mnamendeana kitambo....mie simo lakini...
Inasemekana na nani ?
Unataka nikuletee mashahidi hapa? halafu huyu best ako kapaka majivu usoni?
walete.... hahaa imebidi nikaiangalie picha upya huko usoni lol
Atakua kazidisha ma powder..,
Kwanini umruhusu ajikandike yote hiyo....halafu yeye kati ya picha zooote kaona hiyo ndo inafaa, ulikuwa wapi kumshauri?
Vin labda hayo ndio maisha aliyoyachagua......, nimshauri mi kama nani kwake......
Kwani wewe ni nani yake....hebu leo vunja ukimya
Bora wewe uulize maana...
Member mwenzangu wa JF.........
wacha weeee....
Curiosity killed a cat.....
Am ready to die then.........
I hope jibu limeeleweka
Ready to die for HOD???? didnt know that
crystal clear....
I never said that......, Why are u putting words into my mouth
The chat context made me say that....so what/who are u ready to die for?
Vin I am responsible for what I say, Not what you understand...
Mi pia,tupe mapya kuhusu Dangote nawe unapoteaga mno
Wewe nae unauweza upambe sana
Hii ni open forum kama una yako binafsi nenda wasapu au tumia pm.