i once told you ☞NENDA KAKICHAFUE HALMASHAURI☜ ukaniuliza maana yake nini..... HOPEFULLY USHAONA MAANA YAKE SASA ... haya anza kutafuta kuku wawiliwatatu wa kufuga hapo home..
uwe na masterz,kadegree au elimu gani kama wewe ni mwalimu unageuka zombi kutokana na mazingira na watu waliopo,pamoja na walimu wenzako tena wakiwa wakike wengi ndo utapotea labda uende town kwenye changamoto kila m2 na time yakeAiseee ! Wacha nifurahi mwalimu miye! Kwa walosoma uzi wangu wa kuchoka mwili na roho watakuwa wanaelewa nini kinachoendelea hapa!........ ndo hivyo tena nshahama huko porini nipo kituo kingine kabisaaaa!! Full umeme maji usiseme,yani nikiangalia huku bonge la hospital,hapa kanisa,magari hadi mlangoni (kwanini nisiende mjini?)hewa saafi kabisa DAR kufanya nini?(huko shule tu na kusalimia hiyo mifoleni nani anataka? wee tutabanana hukohuko)......... Yani kweli msuli wote ule,mbu wamenifaidi,nimekoswa na misap afu muda umefika wa kurelax nakutana na eti poor mazingira thubutuu nani kasema! wamenibembeleza wenyewe!! Nchi yangu,maisha ni yangu yanini niteseke eti kisa mwalimu who told you?ukiiendekeza hii nchi wallah utakufa masikini unajiona!!......... Mi napenda kuwaambia nyie ndugu walimu msiwe wanyonge kiasi hicho ,msijidharau na wala msiwape nafasi watu kudharau ualimu wako maisha ni kupambana,kupanga na kuchagua!! ........... anyway naombeni niishie hapa (naandaa scheme of work loh hili nalo janga)..ntarudi kuwaambia kitu.....
yaani we 'mbebez' ualimu ndo umeona ni kazi jamani!!..hako ka mshahara mnakopewa wengine ndo tunawapa pocket money watoto zetu eti nyie ndo mshahara!!..kwa mwanaume ni udhaifu sana kusomea 'kazi za kike' kama ualimu!!
mawazo mengi ya watanzania yapo kiunoni !! source -Nyerere !!!
serikali inabidi ijitahidi kuboresha mazingira ya shule za vijijini ili kuwapa walimu moyo wa kufundisha, otherwise tatizo la upungufu wa walimu baadhi ya maeneo litaendelea kuwa sugu milele na daima !!
india wameruhusu jinsia mbili. Discuss
nimekusikia mrembo wangu...Ukianza na majina ya nchi anza na herufi kubwa .
mamii nilikuwa bize na mishe za kusaka misimbazi, ngoja nifanye mpango nioe mwalimu aisee tusaidiane!ha ha Excel oa tu mwanawane utapata raha wewe!! Btw- mbona umepotea huku sijakuona kitambo!
Utakua Na Mimba Wewe,kaz Ya Mtu Inakuhusu Nini Au Unawashwa Papuch Ukunwe
ukweli upi unaosema wewe???!!! Ama wafikiri wanavyotoaga dadizo basi wadhani the same eeh!! Watch out!!!!