Ha ha ha mwalimu oyee..!!

Ha ha ha mwalimu oyee..!!

ha ha ha!! Tungeenda nzetu pale escape kujivinjari Loh
sio ndio hapoa alafu hiyo part ingekuwa special ni kwa wageni maalum tu waalikwa with a lot of suprise sio kama ile iliyopita kila mtu anaweza kuja.
 
Mwalimu wewe kiboko...kufika na kuhama! Wengine twasota miaka tukitafuta uhamisho...hata faili wizarani halionekani...Hongera kwa kituo kipya...
hapa Munkari inabidi atuweke waz if possible (afinguke) yyeye alitumia njia gani mpk akahamishwa? nasikia kulikuwa kuna kushikana mashati kidogo ili upate kuhamishwa ama ukunjue mkono usiuweke kama wa birika
 
Last edited by a moderator:
yaani we 'mbebez' ualimu ndo umeona ni kazi jamani!!..hako ka mshahara mnakopewa wengine ndo tunawapa pocket money watoto zetu eti nyie ndo mshahara!!..kwa mwanaume ni udhaifu sana kusomea 'kazi za kike' kama ualimu!!
watu mnajua kujikweza!! umeulizwa???
 
hapa Munkari inabidi atuweke waz if possible (afinguke) yyeye alitumia njia gani mpk akahamishwa? nasikia kulikuwa kuna kushikana mashati kidogo ili upate kuhamishwa ama ukunjue mkono usiuweke kama wa birika

ha ha ha ni mungu tu jamani amefanya njia !!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ni mungu tu jamani amefanya njia !!

ni kweli Munkari ile njia imetengenezwa na Mungu, lakini je umeitumiaje mpaka ukaigeuza huzuni kuwa furaha? inabidi nifunge safari toka Dar kuja kuhakiki kama uko salama.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli Munkari ile njia imetengenezwa na Mungu, lakini je umeitumiaje mpaka ukaigeuza huzuni kuwa furaha? inabidi nifunge safari toka Dar kuja kuhakiki kama uko salama.

njoo tu mwaya am safe !!!
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu hebu kuja huku sebuleni utueleze ni wapi umepata hela ya kufanya shopping ya mara dressing table na mazaga zaga mengine ya kuanzia maisha ilihali ndo kwanza unaanza kazi na si ajabu hata hela ya kuanzia maisha haijatumwa kwenye kituo chako cha kazi?
 
ha ha ha yani wewe Horseshoe Arch mkorofi!!..unataka kunipa?? Ujue kazi sijaanza leo.....
 
Last edited by a moderator:
Aiseee ! Wacha nifurahi mwalimu miye! Kwa walosoma uzi wangu wa kuchoka mwili na roho watakuwa wanaelewa nini kinachoendelea hapa!........ ndo hivyo tena nshahama huko porini nipo kituo kingine kabisaaaa!! Full umeme maji usiseme,yani nikiangalia huku bonge la hospital,hapa kanisa,magari hadi mlangoni (kwanini nisiende mjini?)hewa saafi kabisa DAR kufanya nini?(huko shule tu na kusalimia hiyo mifoleni nani anataka? wee tutabanana hukohuko)......... Yani kweli msuli wote ule,mbu wamenifaidi,nimekoswa na misap afu muda umefika wa kurelax nakutana na eti poor mazingira thubutuu nani kasema! wamenibembeleza wenyewe!! Nchi yangu,maisha ni yangu yanini niteseke eti kisa mwalimu who told you?ukiiendekeza hii nchi wallah utakufa masikini unajiona!!......... Mi napenda kuwaambia nyie ndugu walimu msiwe wanyonge kiasi hicho ,msijidharau na wala msiwape nafasi watu kudharau ualimu wako maisha ni kupambana,kupanga na kuchagua!! ........... anyway naombeni niishie hapa (naandaa scheme of work loh hili nalo janga)..ntarudi kuwaambia kitu.....

Chapa kazi kama mtumwa ili uje uishi kama mfalme..!

BTW congratulations!!!!! Now you see...Nothing is impossible to the willing heart.
 
Aiseee ! Wacha nifurahi mwalimu miye! Kwa walosoma uzi wangu wa kuchoka mwili na roho watakuwa wanaelewa nini kinachoendelea hapa!........ ndo hivyo tena nshahama huko porini nipo kituo kingine kabisaaaa!! Full umeme maji usiseme,yani nikiangalia huku bonge la hospital,hapa kanisa,magari hadi mlangoni (kwanini nisiende mjini?)hewa saafi kabisa DAR kufanya nini?(huko shule tu na kusalimia hiyo mifoleni nani anataka? wee tutabanana hukohuko)......... Yani kweli msuli wote ule,mbu wamenifaidi,nimekoswa na misap afu muda umefika wa kurelax nakutana na eti poor mazingira thubutuu nani kasema! wamenibembeleza wenyewe!! Nchi yangu,maisha ni yangu yanini niteseke eti kisa mwalimu who told you?ukiiendekeza hii nchi wallah utakufa masikini unajiona!!......... Mi napenda kuwaambia nyie ndugu walimu msiwe wanyonge kiasi hicho ,msijidharau na wala msiwape nafasi watu kudharau ualimu wako maisha ni kupambana,kupanga na kuchagua!! ........... anyway naombeni niishie hapa (naandaa scheme of work loh hili nalo janga)..ntarudi kuwaambia kitu.....

i once told you ☞NENDA KAKICHAFUE HALMASHAURI☜ ukaniuliza maana yake nini..... HOPEFULLY USHAONA MAANA YAKE SASA ... haya anza kutafuta kuku wawiliwatatu wa kufuga hapo home..
 
Back
Top Bottom