TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
ligi ya uingereza sijawah kuipenda kabisa!
Hauko peke yako katika hili. Mi kero yangu ni majigambo yao ambayo hayana msingi
Kwa matokeo ya juzi it's safe to say no La Liga, League 1 teams have recorded any victory at home in this season Champs League knock-out stage.
Mi naipenda ligi ila siwapendi waingereza. Wanafikiri Rooney ndie mshambuliaji hatari kuliko wote duniani, Gerrard ndie kiungo bora zaidi ktk namba yake duniani, Wilshere ni miaka kumi sasa toka waanze kumfagilia ila sijaona kitu, na sasa wanafikiri harry Kane ni mshambuliaji hatari zaidi duniani.
Naipenda ligi ila waingereza siwapendi.
Haina haja ya kusubiri matokeo ya Man City na Arsenal, hawa wote nao wameshaaga. EPL ni ngumu kwa timu wenyewe ila si ktk timu zingine.
EPL ndio Lig ambayo kama Barcelona au Juventus akienda anaweza akacheza mechi zote bila kufungwa kwa msimu mmoja.
Haina haja ya kusubiri matokeo ya Man City na Arsenal, hawa wote nao wameshaaga. EPL ni ngumu kwa timu wenyewe ila si ktk timu zingine.
EPL ndio Lig ambayo kama Barcelona au Juventus akienda anaweza akacheza mechi zote bila kufungwa kwa msimu mmoja.
EPL kama yanga.... Kelele nyiiingi kumbe weupe tuSamahani sana wakuu ila mi ni mmoja wa wale wanaoamini hiyo ligi iko so overrated, so huwa nafurahi sana linapojithibitisha hilo.
Kwa matokeo ya jana it's safe to say no english club has recorded any victory at home in this season's Champs League knock-out stages.
BOOYAH!!!
Haya ni maneno ya vijiweni.Eti Barcelona/Juventus itashinda mechi zote! Aisee...
hamna kitu epl hata timu moja hao arsanal na city wasije kujipa moyo bure washaaga nao tayari nasema man city hana uweozo wa kumpiga barca 2 bale camp nou na arsenal nae hana uwezo wa kumpiga monaco 2 pale stade louis II
haha Sasa kama Liverpool(The most in-form team in the PL ) walichemka kwa Besiktas, Arsenal walipigika kwa Monaco at Emirates tena, Tottenham Hotspur walichemka kwa Fiorentina. Miziki mikubwa kama Barca na Juve si itakuwa balaa tupu?