Ha ha ha Premier League

Ha ha ha Premier League

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
Samahani sana wakuu ila mi ni mmoja wa wale wanaoamini hiyo ligi iko so overrated, so huwa nafurahi sana linapojithibitisha hilo.

Kwa matokeo ya jana it's safe to say no english club has recorded any victory at home in this season's Champs League knock-out stages.

BOOYAH!!!
 
Kwa matokeo ya juzi it's safe to say no La Liga, League 1 teams have recorded any victory at home in this season Champs League knock-out stage.
 
Muhimu ni ushindi wa nyumbani au muhimu ni kusonga mbele?? Ata madrid kafungwa kwao ila anaendelea, subiri tuone matokeo ya man city na arsenal ndio tuseme hii ligi haina ubora
 
Haina haja ya kusubiri matokeo ya Man City na Arsenal, hawa wote nao wameshaaga. EPL ni ngumu kwa timu wenyewe ila si ktk timu zingine.
EPL ndio Lig ambayo kama Barcelona au Juventus akienda anaweza akacheza mechi zote bila kufungwa kwa msimu mmoja.
 
Hauko peke yako katika hili. Mi kero yangu ni majigambo yao ambayo hayana msingi

Mi naipenda ligi ila siwapendi waingereza. Wanafikiri Rooney ndie mshambuliaji hatari kuliko wote duniani, Gerrard ndie kiungo bora zaidi ktk namba yake duniani, Wilshere ni miaka kumi sasa toka waanze kumfagilia ila sijaona kitu, na sasa wanafikiri harry Kane ni mshambuliaji hatari zaidi duniani.
Naipenda ligi ila waingereza siwapendi.
 
Kwa matokeo ya juzi it's safe to say no La Liga, League 1 teams have recorded any victory at home in this season Champs League knock-out stage.

Ha ha ha, touche . Well, It's safe to say La Liga and Ligue 1 got teams in the next round already. Your move
 
Mi naipenda ligi ila siwapendi waingereza. Wanafikiri Rooney ndie mshambuliaji hatari kuliko wote duniani, Gerrard ndie kiungo bora zaidi ktk namba yake duniani, Wilshere ni miaka kumi sasa toka waanze kumfagilia ila sijaona kitu, na sasa wanafikiri harry Kane ni mshambuliaji hatari zaidi duniani.
Naipenda ligi ila waingereza siwapendi.

Jamaa tambo ndio zao
 
Haina haja ya kusubiri matokeo ya Man City na Arsenal, hawa wote nao wameshaaga. EPL ni ngumu kwa timu wenyewe ila si ktk timu zingine.
EPL ndio Lig ambayo kama Barcelona au Juventus akienda anaweza akacheza mechi zote bila kufungwa kwa msimu mmoja.

Hiyo ligi timu zote hazitofautiani viwango. Ukiwapa Chelsea/United/Arsenal au City kina Valencia, Villareal watautafuta sana
 
Haina haja ya kusubiri matokeo ya Man City na Arsenal, hawa wote nao wameshaaga. EPL ni ngumu kwa timu wenyewe ila si ktk timu zingine.
EPL ndio Lig ambayo kama Barcelona au Juventus akienda anaweza akacheza mechi zote bila kufungwa kwa msimu mmoja.

Haya ni maneno ya vijiweni.Eti Barcelona/Juventus itashinda mechi zote! Aisee...
 
Samahani sana wakuu ila mi ni mmoja wa wale wanaoamini hiyo ligi iko so overrated, so huwa nafurahi sana linapojithibitisha hilo.

Kwa matokeo ya jana it's safe to say no english club has recorded any victory at home in this season's Champs League knock-out stages.

BOOYAH!!!
EPL kama yanga.... Kelele nyiiingi kumbe weupe tu
 
Haya ni maneno ya vijiweni.Eti Barcelona/Juventus itashinda mechi zote! Aisee...

haha Sasa kama Liverpool(The most in-form team in the PL ) walichemka kwa Besiktas, Arsenal walipigika kwa Monaco at Emirates tena, Tottenham Hotspur walichemka kwa Fiorentina. Miziki mikubwa kama Barca na Juve si itakuwa balaa tupu?
 
hamna kitu epl hata timu moja hao arsanal na city wasije kujipa moyo bure washaaga nao tayari nasema man city hana uweozo wa kumpiga barca 2 bale camp nou na arsenal nae hana uwezo wa kumpiga monaco 2 pale stade louis II
 
hahaha mpira una maajabu mengi boss, pia hawa jamaa wana uwezo wa kubadilisha matokeo. Ila bado ligi yao haitishi kama wanavyotaka tuamini
 
haha Sasa kama Liverpool(The most in-form team in the PL ) walichemka kwa Besiktas, Arsenal walipigika kwa Monaco at Emirates tena, Tottenham Hotspur walichemka kwa Fiorentina. Miziki mikubwa kama Barca na Juve si itakuwa balaa tupu?

Tusubiri wiki ijayo baada ya mechi za marudiano baina ya Arsenal vs Monaco na Man City vs Barcelona ndio tujudge.Hao Real Madrid wenyewe wameponea chupuchupu tu.
 
Back
Top Bottom