Ha ha haa, kuzamia kwenye semina zisizowahusu

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,110
Jamaa mmoja alizamia kwenye semina ya wasomi iliyofanyika Ubungo Plaza.

Muda wa kujitambulisha ukafika.

Wa 1, Naitwa John Jackob niko UDOM mwaka wa 2 nasoma shahada ya SHERIA.

Wa 2, Naitwa Rweykiza Stella niko UDSM mwaka wa 3 nasoma PUBLIC RELATIONS

Wa 3, Naitwa Bujebaje Kiwhea niko DUCE mwaka wa 1 nasoma EDUCATION

Wa 4, (JAMAA) kwa kusua sua sana na kujiuma uma huku akijistukia, Naitwa Paulo niko TANESCO mwaka wa 4 nasoma MITA.
Chezeya shule......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…