mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,962
- 2,477
ha! ha! ha! ha! kwi! kwi! kw! kitu cha tarime afu nikakivundika chooni du kina stimu ucpime yaani angekipata jk hakika angetuua jf maana kingempa mzuka wa kutafuta kila member, na angekipata pinda kwenye maswali na majibu tungekoma, maaana kila swali yeye angejibu sikumbuki tehe! tehe! ka! ka! ka! wuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mimi mbavu zanguDogo hiyo unayovuta ya tarime nini naona hata macho hayafunguki hahahahahahahahahahahaha! Baada ya kutuhumiwa kulidanganya bunge mara kadhaa Pinda kakimbilia Brazil kwa muda na kumuachia Tarakimu(6) uwaziri mkuu hahahaha!