Ha ha haaaaaa ni Mulugo tena!

Ha ha haaaaaa ni Mulugo tena!

Status
Not open for further replies.

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,976
Reaction score
3,130
Yule jamaa aliyekuja na muungano wa pemba na zimbambwe south Africa, leo amenifurahisha sana alipokuwa anatangaza matokeo ya kidato cha pili kwa mambo mawili<

1. Eti mikoa ya kanda ya ziwa ni Mwanza na Mara.
2. Ameshindwa kabisa kutamka neno Thaqaafa second. anatamka swafaka ee, swaaa, swaa................ hadi alipopata msaada wa waandishi wa habari jinsi ya kutamka neno hili.

Hapa sitaki tena na tena kuamini kwamba hii ni MISTAKE hii ni ERROR japo sina uhakika kama anajua tofauti ya maneno hayo.
 
Nasikia huyo jamaa ni kilaza kweli kweli. Ni serikali inayoongozwa na vilaza.
 
yani huyu jamaa anamatatizo sana , kila sentesi tatu alizokua anasoma alikua lazima anakosea sentesi moja na kuasaidiwa na watu waliokua wamekaaa naye pembeni ila sauti za kumrekebisha zilisikika vema na yeye alikua akifanya marekebisho kwa kuongozwa na sauti hizo.
Uyu jamaa ameokotewa wapi??
 
Yule jamaa aliyekuja na muungano wa pemba na zimbambwe south Africa, leo amenifurahisha sana alipokuwa anatangaza matokeo ya kidato cha pili kwa mambo mawili<

1. Eti mikoa ya kanda ya ziwa ni Mwanza na Mara.
2. Ameshindwa kabisa kutamka neno Thaqaafa second. anatamka swafaka ee, swaaa, swaa................ hadi alipopata msaada wa waandishi wa habari jinsi ya kutamka neno hili.

Hapa sitaki tena na tena kuamini kwamba hii ni MISTAKE hii ni ERROR japo sina uhakika kama anajua tofauti ya maneno hayo.
Mkuu, hayo matokeo yanapatikana wapi? Nimepita NECTA website sijafanikiwa. Naomba link tafadhali.
Queen Esther
 
yani huyu jamaa anamatatizo sana , kila sentesi tatu alizokua anasoma alikua lazima anakosea sentesi moja na kuasaidiwa na watu waliokua wamekaaa naye pembeni ila sauti za kumrekebisha zilisikika vema na yeye alikua akifanya marekebisho kwa kuongozwa na sauti hizo.
Uyu jamaa ameokotewa wapi??

Kati ya mambo yaliyosababisha JK adharauliwe na wana-mbeya na watanzania kwa ujumla ni kitendo cha kumpa unaibu waziri huyu jamaa!..........lakini ataondoka tu ni suala la muda!
 
Kuna vitu unaweza kujidai kuchezea ila siyo taaluma....

Hata yule Housegirl wa Mahita aliyejifanya bingwa wa upasuaji aliumbuka ndani ya muda mfupi tu....

Nimemskikia pia akisema kuwa alioshindwa ni alisimilia thelathini tano point arobaini na tano (35.45%)!"!

Yetu macho...
 
Mkuu, hayo matokeo yanapatikana wapi? Nimepita NECTA website sijafanikiwa. Naomba link tafadhali.
Queen Esther

[h=3]MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI, 2012[/h]
1.0 UTANGULIZI
Mtihani wa Taifa wa Elimu ya Sekondari Kidato cha Pili ulifanyika nchini kote kuanzia tarehe 05/11/2012 na kumalizika tarehe 16/11/2012. Mwaka 2012 kulikuwa na jumla ya vituo 4,304 vilivyosajili watahiniwa, ikiwa ni ongezeko la vituo 117(2.79 %) ikilinganishwa na ile ya mwaka 2011.
2.0 WATAHINIWA WALIOSAJILIWA, WALIOFANYA NA WASIOFANYA MTIHANI
2.1 Idadi ya watahiniwa waliosajiliwa kufanya mtihani walikuwa 430,327, kati yao wasichana walikuwa 205,476 na wavulana 224,851. Idadi hii ni upungufu wa watahiniwa 36,240 (7.76%) ikilinganishwa na mwaka 2011 ambapo walikuwa 466,567.
2.2 Watahiniwa 386,271 sawa na asilimia 89.76 ya waliosajiliwa, walifanya mtihani wakiwemo wasichana 187,244 na wavulana 199,027.
2.3 Watahiniwa 44,056 sawa na asilimia 10.24 hawakufanya mtihani, kati yao wasichana ni 18,231 na wavulana 25,825. Mwaka 2011 watahiniwa 47,527(10.19%) hawakufanya mtihani. Sababu za watahiniwa kutofanya mtihani ni pamoja na utoro, kuugua, kudaiwa ada, kufukuzwa shule, mimba na vifo.
3.0 UFAULU WA WATAHINIWA
3.1 Watahiniwa waliofaulu ni 249,325 (64.55 %) kati yao, wasichana ni 113,213 na wavulana 136,112. Kiwango cha ufaulu kimepanda kwa asilimia 19.15 kutoka asilimia 45.40 mwaka 2011. Watahiniwa waliofaulu kwa kiwango cha A, B, na C walikuwa 127,981 (33.13%) na waliofaulu kwa kiwango cha D ni 121,344 (31.42%). Alama ya juu ya ufaulu ni 92%
3.2 Wastani wa ufaulu kwa masomo ni 38%, wastani huu umepanda kwa asilimia 7 ukilinganishwa na mwaka 2011 ambapo ulikuwa 31%.
3.3 Watahiniwa 136,923 (35.45 %) hawakufaulu mtihani, wakiwemo wasichana 74,020 na wavulana 62,903. Watahiniwa hawa watalazimika kukariri kidato cha pili mwaka 2013. Aidha, mwaka 2011 watahiniwa 228,759 (54.59%) hawakufaulu mtihani.
3.4 Watahiniwa 23 matokeo yao yamefutwa kutokana na tuhuma za udanganyifu. Watahiniwa hawa wanatoka katika shule zifuatazo;
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 49"]
Na
[/TD]
[TD="width: 156"]
Jina la Shule
[/TD]
[TD="width: 96"]
Kanda
[/TD]
[TD="width: 216"]
Idadi ya watahiniwa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]
1.
[/TD]
[TD="width: 156"] Kiyongwire
[/TD]
[TD="width: 96"] Mashariki
[/TD]
[TD="width: 216"]
2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]
2.
[/TD]
[TD="width: 156"] Nyashishi
[/TD]
[TD="width: 96"] Ziwa
[/TD]
[TD="width: 216"]
4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]
3.
[/TD]
[TD="width: 156"] Thaqaafar
[/TD]
[TD="width: 96"] Ziwa
[/TD]
[TD="width: 216"]
3
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]
4.
[/TD]
[TD="width: 156"] Paroma
[/TD]
[TD="width: 96"] Ziwa
[/TD]
[TD="width: 216"]
2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]
5.
[/TD]
[TD="width: 156"] Murangi
[/TD]
[TD="width: 96"] Ziwa
[/TD]
[TD="width: 216"]
1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]
6.
[/TD]
[TD="width: 156"] Bukene
[/TD]
[TD="width: 96"] Magharibi
[/TD]
[TD="width: 216"]
7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]
7.
[/TD]
[TD="width: 156"] Kili
[/TD]
[TD="width: 96"] Magharibi
[/TD]
[TD="width: 216"]
1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]
8.
[/TD]
[TD="width: 156"] Binza
[/TD]
[TD="width: 96"] Magharibi
[/TD]
[TD="width: 216"]
1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]
9.
[/TD]
[TD="width: 156"] Kizumbi
[/TD]
[TD="width: 96"] Magharibi
[/TD]
[TD="width: 216"]
1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]
10.
[/TD]
[TD="width: 156"] Kolandoto
[/TD]
[TD="width: 96"] Magharibi
[/TD]
[TD="width: 216"]
1
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Watahiniwa hawa nao watalazimika kukariri kidato cha pili mwaka 2013.
4.0 UFAULU KWA SHULE
4.1 Shule Zilizoshika Nafasi Kumi za Mwanzo
4.1.1 Shule za Serikali
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 43"]
NA.
[/TD]
[TD="width: 204"]
SHULE
[/TD]
[TD="width: 216"]
KANDA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
1.
[/TD]
[TD="width: 204"] MZUMBE
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
2.
[/TD]
[TD="width: 204"] TABORA WAVULANA
[/TD]
[TD="width: 216"] MAGHARIBI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
3.
[/TD]
[TD="width: 204"] ILBORU
[/TD]
[TD="width: 216"] KASKAZINI MAGHARIBI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
4.
[/TD]
[TD="width: 204"] KIBAHA
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
5.
[/TD]
[TD="width: 204"] IYUNGA
[/TD]
[TD="width: 216"] NYANDA ZA JUU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
6.
[/TD]
[TD="width: 204"] MSALATO
[/TD]
[TD="width: 216"] KATI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
7.
[/TD]
[TD="width: 204"] MALANGALI
[/TD]
[TD="width: 216"] NYANDA ZA JUU KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
8.
[/TD]
[TD="width: 204"] IFUNDA UFUNDI
[/TD]
[TD="width: 216"] NYANDA ZA JUU KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
9.
[/TD]
[TD="width: 204"] SAMORA MACHEL
[/TD]
[TD="width: 216"] NYANDA ZA JUU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
10.
[/TD]
[TD="width: 204"] KILAKALA
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
4.1.2 Shule Zisizo za Serikali
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 43"]
NA.
[/TD]
[TD="width: 204"]
SHULE
[/TD]
[TD="width: 216"]
KANDA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
1.
[/TD]
[TD="width: 204"] KAIZIREGE
[/TD]
[TD="width: 216"] ZIWA MAGHARIBI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
2.
[/TD]
[TD="width: 204"] MARIAN WAVULANA
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
3.
[/TD]
[TD="width: 204"] ST. FRANCIS
[/TD]
[TD="width: 216"] NYANDA ZA JUU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
4.
[/TD]
[TD="width: 204"] DONBOSCO
[/TD]
[TD="width: 216"] NYANDA ZA JUU KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
5.
[/TD]
[TD="width: 204"] BETHEL SABS
[/TD]
[TD="width: 216"] NYANDA ZA JUU KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
6.
[/TD]
[TD="width: 204"] MARIAN WASICHANA
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
7.
[/TD]
[TD="width: 204"] DON BOSCO (MOSHI)
[/TD]
[TD="width: 216"] KASKAZINI MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
8.
[/TD]
[TD="width: 204"] CANOSSA
[/TD]
[TD="width: 216"] DSM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
9.
[/TD]
[TD="width: 204"] ST. JOSEPH ITERAMBOGO SEM.
[/TD]
[TD="width: 216"] ZIWA MAGHARIBI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
10.
[/TD]
[TD="width: 204"] CARMEL
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
4.2 Shule zilizoshika nafasi kumi za Mwisho
4.2.1 Shule za Serikali
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 61"]
NA
[/TD]
[TD="width: 186"]
SHULE
[/TD]
[TD="width: 216"]
KANDA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
1.
[/TD]
[TD="width: 186"] MIHAMBWE
[/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
2.
[/TD]
[TD="width: 186"] DINDUMA
[/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
3.
[/TD]
[TD="width: 186"] KIROMBA
[/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
4.
[/TD]
[TD="width: 186"] MARAMBO
[/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
5.
[/TD]
[TD="width: 186"] MBEMBALEO
[/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
6.
[/TD]
[TD="width: 186"] KINJUMBI
[/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
7.
[/TD]
[TD="width: 186"] LITIPU
[/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
8.
[/TD]
[TD="width: 186"] LUAGALA
[/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
9.
[/TD]
[TD="width: 186"] MIGURUWE
[/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
10.
[/TD]
[TD="width: 186"] NAPACHO
[/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
4.2.2 Shule Zisizo za Serikali
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 43"] NA.
[/TD]
[TD="width: 204"]
SHULE
[/TD]
[TD="width: 216"]
KANDA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
1.
[/TD]
[TD="width: 204"] MFURU
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
2.
[/TD]
[TD="width: 204"] PWANI
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
3.
[/TD]
[TD="width: 204"] DORETA
[/TD]
[TD="width: 216"] KATI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
4.
[/TD]
[TD="width: 204"] KIGURUNYEMBE
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
5.
[/TD]
[TD="width: 204"] RURUMA
[/TD]
[TD="width: 216"] KATI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
6.
[/TD]
[TD="width: 204"] AT-TAAUN
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
7.
[/TD]
[TD="width: 204"] JABAL HIRA SEM
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
8.
[/TD]
[TD="width: 204"] MKONO WA MARA
[/TD]
[TD="width: 216"] MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
9.
[/TD]
[TD="width: 204"] KILEPILE
[/TD]
[TD="width: 216"] NYANDA KUSINI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"]
10.
[/TD]
[TD="width: 204"] KIUMA
[/TD]
[TD="width: 216"] NYANDA KUSINI
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
5.0 UFAULU WA WANAFUNZI
Wanafunzi Walioshika Nafasi Kumi za Mwanzo
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 511"]
[TR]
[TD="width: 43"] Na
[/TD]
[TD="width: 222"]
JINA
[/TD]
[TD="width: 72"] JINSI
[/TD]
[TD="width: 174"]
SHULE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"] 1.
[/TD]
[TD="width: 222"] MAGRETH KAKOKO
[/TD]
[TD="width: 72"] KE
[/TD]
[TD="width: 174"] ST FRANCIS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"] 2.
[/TD]
[TD="width: 222"] QUEEN MASIKO
[/TD]
[TD="width: 72"] KE
[/TD]
[TD="width: 174"] ST FRANCIS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"] 3.
[/TD]
[TD="width: 222"] LUKUNDO MANASE
[/TD]
[TD="width: 72"] ME
[/TD]
[TD="width: 174"] KAIZIREGE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"] 4.
[/TD]
[TD="width: 222"] FRANK J NYANTARILA
[/TD]
[TD="width: 72"] ME
[/TD]
[TD="width: 174"] KAIZIREGE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"] 5.
[/TD]
[TD="width: 222"] GRACE MSOVELLA
[/TD]
[TD="width: 72"] KE
[/TD]
[TD="width: 174"] ST FRANCIS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"] 6.
[/TD]
[TD="width: 222"] HARIETH MAKIRIYE
[/TD]
[TD="width: 72"] KE
[/TD]
[TD="width: 174"] ST FRANCIS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"] 7.
[/TD]
[TD="width: 222"] ROBINNANCY MTITU
[/TD]
[TD="width: 72"] KE
[/TD]
[TD="width: 174"] ST FRANCIS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"] 8.
[/TD]
[TD="width: 222"] HUMRATH LUSHEKE
[/TD]
[TD="width: 72"] KE
[/TD]
[TD="width: 174"] ST FRANCIS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"] 9.
[/TD]
[TD="width: 222"] MUKHSIN HAMZA
[/TD]
[TD="width: 72"] ME
[/TD]
[TD="width: 174"] KAIZIREGE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 43"] 10.
[/TD]
[TD="width: 222"] ANASTAZIA KABELINDE
[/TD]
[TD="width: 72"] KE
[/TD]
[TD="width: 174"] KAIZIREGE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
6.0 HITIMISHO
Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Elimu ya Sekondari Kidato cha Pili mwaka 2012, yanaonesha kuwa kiwango cha ufaulu kimepanda kutoka asilimia 45.40 mwaka 2011 hadi kufikia asilimia 64.55 mwaka 2012. Aidha, watahiniwa 249,325 wataendelea na masomo ya kidato cha tatu mwaka 2013. Napenda kuwapongeza wanafunzi wote waliofaulu kuendelea na masomo na kuwataka kuendelea na bidii katika kujifunza.
Kwa upande mwingine, watahiniwa 136,946 ambao wameshindwa kupata wastani wa ufaulu wa alama 30 na wale waliofutiwa matokeo yao kutokana na udanganyifu watalazimika kukariri kidato cha pili mwaka 2013. Ni vema ikaeleweka kuwa kukariri kidato si adhabu bali ni kutoa fursa nyingine kwa mwanafunzi kuweza kupata maarifa, stadi na ujuzi wa elimu ya sekondari kidato cha kwanza na cha pili kwa kiwango kizuri. Hivyo ni matumaini yangu kuwa wanafunzi hawa watafanya bidii katika kujifunza na kuzingatia masomo ili waweze kufaulu, pia walimu kuwasaidia Wanafunzi hao waweze kufanya vizuri.
Serikali kwa upande wake itaimarisha usimamizi wa elimu katika ngazi ya shule na kuziwezesha shule kukabiliana na changamoto mbalimbali kwa kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji ikiwa ni pamoja na walimu kubadili mikakati ya ufundishaji na ujifunzaji na wazazi kufuatilia maendeleo ya wanafunzi.
Vilevile, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi chini ya Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES) itaendelea na jitihada zake za kuimarisha na kuboresha mazingira ya utoaji elimu bora kwa kujenga maabara za sayansi, kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu, kununua vifaa vya kufundishia na kujifunzia na kuimarisha usimamizi wa shule. Aidha, wizara itaendelea kutoa walimu kwa awamu kila mwaka ili kukabiliana na upungufu uliopo.
Mhe. Philipo Mulugo (Mb)
NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
11/01/2013
 
Tanzania kazi tunayo. Hiki ni chama ambacho kimekuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 50 sasa, na bado hakina watu makini wa kuongoza wizara makini. Hata hivyo, iweje waziri kama huyu apewe wizara nyeti kama hii? Hii wizara ingemfaa Magufuli au Mwakyembe. Kweli CCM ya miaka 50, inaonekana kama chama kilichoanza siasa miaka mitano iliyopita! Nasema, kazi tunayo Watanzania!
 

4.2
Shule zilizoshika nafasi kumi za Mwisho
4.2.1Shule za Serikali
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]
NA
[/TD]
[TD="width: 186"]
SHULE
[/TD]
[TD="width: 216"]
KANDA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
1.
[/TD]
[TD="width: 186"] MIHAMBWE [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
2.
[/TD]
[TD="width: 186"] DINDUMA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
3.
[/TD]
[TD="width: 186"] KIROMBA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
4.
[/TD]
[TD="width: 186"] MARAMBO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
5.
[/TD]
[TD="width: 186"] MBEMBALEO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
6.
[/TD]
[TD="width: 186"] KINJUMBI [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
7.
[/TD]
[TD="width: 186"] LITIPU [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
8.
[/TD]
[TD="width: 186"] LUAGALA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
9.
[/TD]
[TD="width: 186"] MIGURUWE [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]
10.
[/TD]
[TD="width: 186"] NAPACHO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mbona Shule za mwisho zote zimetokea Kanda ya Kusini? Bila shaka huko ni Songea Songea
 
Kati ya mambo yaliyosababisha JK adharauliwe na wana-mbeya na watanzania kwa ujumla ni kitendo cha kumpa unaibu waziri huyu jamaa!..........lakini ataondoka tu ni suala la muda!
unasikia bwana mdogo, huwezi kumuondoa mtendaji muhimu wa serikali kwa hoja zisizo na mashiko!
hayo ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa, tena kutoka kwa watu wasio na responsibilities zozote katika jamii zao.
labda ningewashauri tu, mjaribu kutumia muda wenu vizuri ili Taifa liondokane na umaskin
 
unasikia bwana mdogo, huwezi kumuondoa mtendaji muhimu wa serikali kwa hoja zisizo na mashiko!
hayo ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa, tena kutoka kwa watu wasio na responsibilities zozote katika jamii zao.
labda ningewashauri tu, mjaribu kutumia muda wenu vizuri ili Taifa liondokane na umaskin

Suala la elimu ndio halina mashiko? Sio muhimu?
 
Kwangu leo ndo nimemfaidi naibu waziri! Amesaidiwa mno kutangaza matokeo. Huenda hajui hata ramani ya Tanzania.
 
[/QUOTE]<br />
<br />
Mimi ndugu[/QUOTE]
Ok mi najua mistake ndo kubwa kuliko error. Ref kwenye physics ndo maana nikauliza
 
unasikia bwana mdogo, huwezi kumuondoa mtendaji muhimu wa serikali kwa hoja zisizo na mashiko!
hayo ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa, tena kutoka kwa watu wasio na responsibilities zozote katika jamii zao.
labda ningewashauri tu, mjaribu kutumia muda wenu vizuri ili Taifa liondokane na umaskin
Eheeeeeeeeeeeee asante sana kwa kujitokeza, wewe unatumiaje nafasi yako ili kuliondo taifa kwenye umaskini?
Unajua waliokwenye vijiwe wanauwezomkubwa sana hata wakati mwingine kukuzidi, chondechonde hiyo ni nafasi tu usijaribu kuwadharau watu, neno bwana mdogo tafsiri yake nini?

Naomba panga muda kama zito alivyofanya uje hapa Jf ujibu maswali ya GREAT THINKERS
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom