DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,130
Hiyo statement ya mwisho imetamkwa na nani?
Mkuu, hayo matokeo yanapatikana wapi? Nimepita NECTA website sijafanikiwa. Naomba link tafadhali.Yule jamaa aliyekuja na muungano wa pemba na zimbambwe south Africa, leo amenifurahisha sana alipokuwa anatangaza matokeo ya kidato cha pili kwa mambo mawili<
1. Eti mikoa ya kanda ya ziwa ni Mwanza na Mara.
2. Ameshindwa kabisa kutamka neno Thaqaafa second. anatamka swafaka ee, swaaa, swaa................ hadi alipopata msaada wa waandishi wa habari jinsi ya kutamka neno hili.
Hapa sitaki tena na tena kuamini kwamba hii ni MISTAKE hii ni ERROR japo sina uhakika kama anajua tofauti ya maneno hayo.
yani huyu jamaa anamatatizo sana , kila sentesi tatu alizokua anasoma alikua lazima anakosea sentesi moja na kuasaidiwa na watu waliokua wamekaaa naye pembeni ila sauti za kumrekebisha zilisikika vema na yeye alikua akifanya marekebisho kwa kuongozwa na sauti hizo.
Uyu jamaa ameokotewa wapi??
Mkuu, hayo matokeo yanapatikana wapi? Nimepita NECTA website sijafanikiwa. Naomba link tafadhali.
Queen Esther
4.2Shule zilizoshika nafasi kumi za Mwisho
4.2.1Shule za Serikali
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD][/TD]NA
[TD="width: 186"][/TD]SHULE
[TD="width: 216"][/TD]KANDA
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]1.
[TD="width: 186"] MIHAMBWE [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]2.
[TD="width: 186"] DINDUMA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]3.
[TD="width: 186"] KIROMBA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]4.
[TD="width: 186"] MARAMBO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]5.
[TD="width: 186"] MBEMBALEO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]6.
[TD="width: 186"] KINJUMBI [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]7.
[TD="width: 186"] LITIPU [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]8.
[TD="width: 186"] LUAGALA [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]9.
[TD="width: 186"] MIGURUWE [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"][/TD]10.
[TD="width: 186"] NAPACHO [/TD]
[TD="width: 216"] KUSINI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
unasikia bwana mdogo, huwezi kumuondoa mtendaji muhimu wa serikali kwa hoja zisizo na mashiko!Kati ya mambo yaliyosababisha JK adharauliwe na wana-mbeya na watanzania kwa ujumla ni kitendo cha kumpa unaibu waziri huyu jamaa!..........lakini ataondoka tu ni suala la muda!
unasikia bwana mdogo, huwezi kumuondoa mtendaji muhimu wa serikali kwa hoja zisizo na mashiko!
hayo ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa, tena kutoka kwa watu wasio na responsibilities zozote katika jamii zao.
labda ningewashauri tu, mjaribu kutumia muda wenu vizuri ili Taifa liondokane na umaskin
Eheeeeeeeeeeeee asante sana kwa kujitokeza, wewe unatumiaje nafasi yako ili kuliondo taifa kwenye umaskini?unasikia bwana mdogo, huwezi kumuondoa mtendaji muhimu wa serikali kwa hoja zisizo na mashiko!
hayo ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa, tena kutoka kwa watu wasio na responsibilities zozote katika jamii zao.
labda ningewashauri tu, mjaribu kutumia muda wenu vizuri ili Taifa liondokane na umaskin