sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Jamaniheeee, wimbo ni zendindi, zendi ndi.... unalia ndani ya mwendokasi, Dreva anauliza kituo, kabla hatuja fika magomeni kwa mbali wimbo wa KIOOO akadanganyi Mama, umejipam,ba umepambika, mara hoooo, mbona unainama salome wangu............. baada ya kuona mtarimbo...... mara hoooo! KITUONI magomeni kbla ya kuvuka mataaa, tu tuna kaa foleni kama dakika tano pale msafara wa wenye Ndege zao unappita, mchizi mvimbiu wa maharage unanituma nijitanue kidgo haaaaaa. abiria wote wanaangalina kutaka kujua nani kafanya hivyo,mle ndani panajawa arufu kali saanaaaa, kila abiria anaguna kwa mbali najiweka sawa narudi kwenye pozi na mwendo kasi hiloooooooooooo! safari inaanza.!
chezea uvimbio ndani ya mwendo kasi wewe?
chezea uvimbio ndani ya mwendo kasi wewe?