Haa! Hata huu hatuuwezi?

Haa! Hata huu hatuuwezi?

Masika

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2009
Posts
723
Reaction score
30
Habari wanajamvi,
Jana nlikuwa nikiangalia taarifa anuai za fainali ya michezo/matamasha ya pasaka
Kilichonisikitisha ni kwa Timu ya Tanzania kushika mkia kwenye mchezo wa DARTS
Duu ina maana sisi tuko nyuma kila kitu hata huo? riadha kimeo,miguu balaa,basket!!
Juzi tu tulifungwa 2:1 na Uganda vijana under 23,pia tumeendeleza uteja maputo,
Msumbiji wakatulamba 2:0 kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa
Sasa nauliza tunaweza nini?
 
Back
Top Bottom