Hivi ni kweli kabisa hakuna alieipigia kura nyimbo hata moja ya WCB ??!!! Siamini hata kidogo.
Hivi hili bifu ni la :
1.Diamond na Clouds?
2.Diamond na Ruge?
3.WCB na CLOUDS?
4.Salam na Ruge?
5.Ruge na WCB?
kama ni kweli Ruge umeamuru nyimbo ya wasanii wa WCB isipigwe kwenye radio yako, utakua umefeli parefu sanaa
Nakuona Kama mnafiki mkubwa. Wewe ndio KAA