Haa! WCB hawajasikika tena Cloudsfm 20.

Haa! WCB hawajasikika tena Cloudsfm 20.

Akilidebe

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
204
Reaction score
124
Hivi ni kweli kabisa hakuna alieipigia kura nyimbo hata moja ya WCB ??!!! Siamini hata kidogo.

Hivi hili bifu ni la :
1.Diamond na Clouds?
2.Diamond na Ruge?
3.WCB na CLOUDS?
4.Salam na Ruge?
5.Ruge na WCB?

kama ni kweli Ruge umeamuru nyimbo ya wasanii wa WCB isipigwe kwenye radio yako, utakua umefeli parefu sanaa

Nakuona Kama mnafiki mkubwa. Wewe ndio KAA
 
Mmh !labda nyimbo zao hazina sifa kuingia hiyo top 20!...haya maisha Mara nyingi hujaa unafiki sana inabid uelewe hivyo...
 
kama ni kweli Ruge umeamuru nyimbo ya wasanii wa WCB isipigwe kwenye radio yako, utakua umefeli parefu sanaa
Nakuona Kama mnafiki mkubwa. Wewe ndio KAA

YANGU MIE MACHO.ILA MUDA SIO MREFU KAA HALISI ATAJULIKANA TU NA MUZIKI WA TANZANIA UTAKUWA NA MAFANIKIO ZAIDI.TUMECHOKA KUTENGENEZA WANAMUZIKI MASIKINI WENYE MAJINA MAKUBWA
 
Acheni kumpangia Ruge na private sector wafanye nini . mbona EA radio hawapigi nyimbo za Diamond na hamuongei lolote.

Mbona hata magic FM ilikuwa haipigi nyimbo za diamond kabla ya kupatana tena.


Acheni kupangiana
 
kwani ni lazima nyimbo zao ziingie top 20....
labda ungekuja na ushahidi wa nyimbo ambazo zimepigiwa kura (kama ndio utaratibu) alafu wao wakazipiga chini...
mbali na hapo utakuwa sawa na mpiga majungu tu!
 
Back
Top Bottom